Mnahela ya kumlipa okwii 😂 😂 😂 😂...yaani mchezaji atoke simba aende timu ambayo inategemea harambee ndo ipate hela za kuwalipa mishahara wachezajiMikia kama huu uzi hawauoni vile. 😜
Nyie ndo hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama okwi....mchezaji gani anaejielewa ataenda timu ambalo ili liwalipe mishahara wachezaji wake ni mpaka liitishe harambeeOkwi arudi Simba ambako hawawezi kuishi bila yeye.
Yanga haina muda wa kubembeleza mchezaji
Mbona alishacheza Yanga? Hukuwepo mjini?Nyie ndo hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama okwi....mchezaji gani anaejielewa ataenda timu ambalo ili liwalipe mishahara wachezaji wake ni mpaka liitishe harambee
Kipindi kile timu ilikuwa inaendeshwa kwa harambee????Mbona alishacheza Yanga? Hukuwepo mjini?
Mnafeza ya kumpa mtani;Mikia kama huu uzi hawauoni vile. 😜
Na hata ivyo alicheza sijui Nusu msimu maana alikua anabaki Uganda tuuKipindi kile timu ilikuwa inaendeshwa kwa harambee????
Ndio akili za makwasukwasu aka migongo wazi wao kumbukumbu huwa zinawapiga chenga sana.hivi mchezaji si ndio yanga walimpa jina la mhenga halafu sasa hivi wanamtamani
What difference does it make?Kipindi kile timu ilikuwa inaendeshwa kwa harambee????
Labda James Msuva wa kino boysOkwi yupo simba sanaaa. Utamwona pamoja na msuva simba day.
Hakuna mchezaji anaejielewa anayeweza kwenda kuchezea timu lenye njaa kama lenuWhat difference does it make?
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaanini unajifariji na tetesi Kabisa !! na unakuja na mkwara eti mikia wako wapi...yanga mna stress zaidi ya kisuswa alie suswa [emoji1][emoji1][emoji1]
Kama nakuona Mkuu unavyotetema huko.Mnahela ya kumlipa okwii 😂 😂 😂 😂...yaani mchezaji atoke simba aende timu ambayo inategemea harambee ndo ipate hela za kuwalipa mishahara wachezaji