Tetesi: Okwi kasaini Yanga??

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,152
Wakuu Kwema,

Kuna tetesi zinasikika huku mitaani kua Mshambuliaji Hatari wa Timu ya Taifa ya Uganda, "The Uganda Cranes" aliekua akiichezea Club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi amesaini kwa wanajangwani, Dar es Salaam Young Africans (Yanga).

Tetesi hizi nimezisikia hapa kwa kijiweni napoletaga Viatu kung'arisha. Kuna mwenye kufahamu kuhusu hili?
 
Yaanini unajifariji na tetesi Kabisa !! na unakuja na mkwara eti mikia wako wapi...yanga mna stress zaidi ya kisuswa alie suswa
Nimejifariji wapi Mkuu! Au na wewe ndio umeteseka na hii tetesi. 😀😀😀😀

Nilitaka kuwaona ka hivi sasa. Sio mpite kimya kimya wakati hizi ni tetesi tu ambazo pia saa ingine zaezekana zikawa kweli.
 
Mngejibu ka hivi Mtani tukajua mpo mana nimeona kimyaaa. Mpaka nkajisemea kama nawaona jinsi roho zilivyowapaa. 😀😀😀

Sababu mleta uzi kasema ni tetesi.

Okwi hana mkataba na sisi, yuko huru kwenda popote.

Kama anataka kuwa chura ni heri pia.
 
Wakuu Kwema,

Kuna tetesi zinasikika huku mitaani kua Mshambuliaji Hatari wa Timu ya Taifa ya Uganda, "The Uganda Cranes" aliekua akiichezea Club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi amesaini kwa wanajangwani, Dar es Salaam Young Africans (Yanga).

Tetesi hizi nimezisikia hapa kwa kijiweni napoletaga Viatu kung'arisha. Kuna mwenye kufahamu kuhusu hili?
Yaani ile pesa ya kuchangachanga ndio wanataka yote mmpatie Okwi? Wawalipe kwanza kuna Dante na Juma Abdul mishahara yao wanayodai.

Vv
 
yanga tunaomba mfanye usafi kuanzia Morogoro hadi dsm kwani maji ya kandoro yaliwahusu wachezaji wenu na gongowazi wenzenu njiani
 
Back
Top Bottom