TETESI: Mheshimiwa Lusinde kuukwaa uwaziri.

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) Mtera, duru za siasa za sema kuna uwezekano mkubwa wa kuukwaa uwaziri ili kumlipa fadhila na kumfuta machoz kwa alichokifanya katika kampeni za CCM Arumeru mashariki kwa kumwangusha Sioi Sumari, source UDAKU....
 
Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga.
 
Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga.

Yaani afungashe virago kabisa akajiunge na taarabu, asituletee za kike kike
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom