Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

Haya mambo yapo na yanafanyika lakini sio kwamba wanabakwa ila kuna kulazimisha hivi akikataa anakiona kilichomtoa kanga manyoya hivyo mabinti wengi huwa na hofu na kuwakubalia wakufunzi ila kuepuka adhabu ngumu maana akikataa ni noma
Sasa huo si ndiyo ubakaji wenyewe?
 
Mkuu uchwara wewe ni uchwara kama lilivyo jina lako,,tuwe wa kweli ndugu,,,tusinene uongo wa kusingizia,,,ukute huna hata motto huku jkt matokeo yake una amua kueneza panic,,,shame on you.

Fact ni fact !
 
Msaada kwenye tuta wakike wanabakwa na wakiume je????
Hawa mabint wana kazi na safar ndefu,bado wahadhiri wanawasubiri vyuoni,kisha wakamalizane na ma-HR kwenye ajira
 
Sasa huo si ndiyo ubakaji wenyewe?

Ukweli ndo huo mkuu kama una mtoto huko umeliwa tena haya mambo hufanyika usiku hasa kipindi cha kulima na mchaka mchaka na wengi hufanya ili kupata unafuu wa kazi chezea jkt wewe.
 
Kinachowaponza mabinti wengi ni uvivu wa kufanya kazi na ugumu wa mafunzo halafu wale wajeda wanaendaga peku si wanajua binti ni mzima kapimwa na hayafanyiki jkt tu ila katika sehemu zote zenye mafunzo ya kijeshi kama polisi na magereza.
 
Nina wadogo zangu kwenye kambi tofauti tofauti za mafunzo,mabinti wawili mmoja akiwa Kigoma na mmoja Ruvu...Nina ndugu yangu mkufunzi yupo Tanga na Itende Mbeya..nina watu tunaoheshimiana ambao mabinti zao wapo mafunzoni as well,ninatetea nachokijua...Hii habari ni kuwavunja moyo tu wazazi ili kukwamisha zoezi hili...
 

Mdogo wako alikuwa Omnipresent katika makambi yote?? Inawezekana vitendo hivi havikuwa vinafanyika katika kambi aliyokuwepo mdogo wako lakini vikawa vinafanyika katika kambi nyingine, so utakuwa ukosefu wa busara, mathalani, ku judge hali inayoendelea ktk kambi za Tanzania nzima kwa msingi wa maelezo/ madai ya mtu aliyeko kambi ya makutupora...na pia, inawezekana pia vilikuwa vinafanyika hata kambi aliyokuwepo lakini akawa hajui kwasababu victims wengine wana prefer ku baki kimya kwasababu wanaona aibu ku share taarifa hizo na wengine..au yeye anauwezo wa kuona sirini na hivyo akawa anajua siri zote za recruits wenzake na wakufunzi wao? Wewe ndio unaleta propaganda na mzaha kwa kujaribu kutuambia tuamini maneno ya mdogo wako na kupuuza madai haya ya msingi yanayopaswa kuchunguzwa. Uchunguzi huru ndio unapswa kututoa wasiwasi na sio maneno ya mdogo wako....
 
mkuu mkada umenena kweli.
Mi nina exprience na jkt na polisi, taratibu za majeshi haziruhusu hayo kutokea.

Taratibu?? Wat r u talking about?? Kwani pale Shimbo alipojilimbikizia mabilioni ya posho za askari walioenda kulinda amani maeneo tofauti tofauti alikuwa anaruhusiwa na taratibu?? Taratibu zipo, na zinavunjwa sometimes!!!! Ni ujinga kujaribu ku generalise mambo..usijaribu ku apply hali uliyoona katika. Kambi moja uliyokuwepo na kambi nyingine...
 
Naunga mkono hoja. Kwa kuwa tayari hii habari imeshasambaa kwenye mitandao mbali mbali hapa nchini, kuna haja ya viongozi wa jeshi kufanya uchunguzi huru ili kubaini haya. Vinginevyo kwa kweli hii itakuwa ni hatari kubwa kwa watoto wetu na kwa kizazi chetu cha nchi hii.
 
Ukweli ndo huo mkuu kama una mtoto huko umeliwa tena haya mambo hufanyika usiku hasa kipindi cha kulima na mchaka mchaka na wengi hufanya ili kupata unafuu wa kazi chezea jkt wewe.
Kazi tunayo. Najuta kuzaa mtoto wa kike. Maana ni pressure kwenda mbele.
 
Kubakwa ni strong word,hata ile miaka ya 87/88 nilipokuwepo haikuwa kubakwa.Ni ile environment inayomfanya msichana ajirahisi,kwa kupata nafuu katika mambo fulani.

Kisiasa sio Ubakaji, lakini Morally, ni ubakaji...
 


Na hiyo mijamaa ilivyoungua...sijui hata kama itakuwa inakumbuka Ndom...
 
Tunaishia fb au inakuwaje? Sha wambia mara nyingi watanzania tuache harakati za midomoni. Jeshi lijisafishe kwa kutoa taarifa za kweli na wanafunzi hao waseme ukweli wakiendelea kuficha watakufa kiboya toa taarifa ufe wenzako wapone ndo uzalendo kuliko kuwepo jeshni.
 
Na hiyo mijamaa ilivyoungua...sijui hata kama itakuwa inakumbuka Ndom...
Hapa ndiyo panaponiumiza sana. Nimesomesha kwa gharama kubwa, kabla hajaanza kujitegemea, naweza kujikuta naanza tena kuingia gharama ya kumuuguza. Oooh, shit. Naumia sana siyo siri. Hizi habari kwa hakika zinanitisha sana.
 
Reactions: BAK
Hili nalo ni neno. Lakini naamini maafisa wa JKT wanapita huku mitandaoni. Kama siyo wao, basi washirika wao. Hope watasoma na wataamua kutoa tamko, au kuanza uchunguzi juu ya hili. Otherwise, hili jambo litawapa shida sana wazazi, kama ambavyo linanitesa mimi.
 

Huyo dogo huenda alikuwa ana enjoy, so hakuwa na haja ya kukueleza ukweli.
 
Thank you!!!

Umenena mkuu, huo ndiyo ukweli halisi, na hiyo nay ni SAWA TU NA UBAKKAJI! Nashangaa hao wanaodeny ukweli sijui wana maslahi gani![/QUOTE]
 
Pole sana mkuu waswahili wanasema lisemwalo lipo sasa muombe Mungu tu
 
mkuu mkada umenena kweli.
Mi nina exprience na jkt na polisi, taratibu za majeshi haziruhusu hayo kutokea.

Sidhani taratibu za polisi zinaruhusu kupiga raia mabomu,kijihusisha na madawa ya kulevya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…