Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
Ndugu zangu, najua siyo utaratibu kuleta mjadala hapa kwa msingi wa habari zilizopo facebook. Nakubali kabisa kwamba JF si ya viwango vya facebook. Lakini nimeiona hii habari facebook, na kwa kuwa nina binti yangu yupo kambi ya JKT Tabora, pressure imenipanda na nimekosa amani kabisa.
Hebu wenye uzoefu na mambo ya huko watuambie ukweli upoje.
Habari yenyewe ni kama ifuatavyo:
MY TAKE: Tusijekuwa tumepeleka watoto wetu jeshini kwa kisingizio cha kuwafunza uzalendo, halafu mwisho wa siku wakarudi na HIV, na hasira kali dhidi ya nchi yao. Kama hili lina ukweli basi hii ni hali ya hatari sana kwa watoto wetu. Tunaweza kujikuta miaka mtano ijayo, 80% ya graduates wa vyuo vikuu ni wagonjwa wa UKIMWI. Ikumbukwe kwamba waliokwenda JKT ni wenye division one hadi three. Kwa maana ya kwamba ni cream ya nchi ndiyo imekwenda huko. Tutabaki na mamburula nchi hii, if this is true.
Hebu wenye uzoefu na mambo ya huko watuambie ukweli upoje.
Habari yenyewe ni kama ifuatavyo:
[/h][h=5]Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO
CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..
Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..
Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.