Tetesi Kwa Walimu Kuongezwa Mishahara

Tetesi Kwa Walimu Kuongezwa Mishahara

Hatuwapunguzii mkitaka mtachagua hamtaki mtachagua ccm kura ni kwa magufuli tu.msipotuchagua kuna goli la mkono msitutishe.

POLE!!! Hiyo ndiyo lugha ya VIONGOZI wenye fikra finyu na wasiojua demokrasia.Mnawaza ubabe tu.
Waacheni watanzania waamue wenyewe.
Kutegemea goli la mkono ni udhaifu na unyonge.
 
Ngombe hanenepi siku ya mnada atavimba tuu tumbo
 
Kuna hizi kada,kada za kudhalilika huwa naziita maana hawalipwi kulingana na wanachokifanya:-
1_WATENDAJI WA
VIJIJI & KATA na
2_WAALIMU WOTE(Primary&Sec).
Hakika CCM mwaka huu TUTAINYOROSHA hata wakiongeza mishahara mara dufu.
VIVA LOWASSA,
watumishi aluta continua.
 
hakuna lolote mishahara ishatoka na hapa nimeona kalekale kambuzi kangu kadoooogo kenye vilaka kibao hapa ni siasa tu
 
Kuna Tetesi Kua Mishahara Ya Walimu Itaongezwa Mwezi Huu Na JK.Je Wadau Kuna Ukweli??

Za kampeni zenye wanakopa tu. Za nauli, likizo, madaraja watu tangia 2006, 2011 bado hizo za kuongezea siwangelipa madeni hayo kwanza. Wakiongeza watakuwa wametoa rushwa wakamatwe wakashtakiwe TAKUKURU.
 
mshahara hauongezi kutokana na kauli za Raisi bali kutokana na uchumi wa nchi-ukiona selikali inaongeza mishahara kutokana na kauli ya raisi ujue hiyo inchi ni ya mazuzu.pili kumbuka kada inayoongoza kuwa na watumishi wengi selikalini ni walimu,hvyo kuongeza mshahara katika walimu wote kwa sasa itakuwa na athari kubwa kiuchumi.
 
Jamani mbona sisi huku liwale hakuna mshahara mpaka muda huu!
 
sawa hata kama utakuja tar 1 oct ni siku chache sana ambazo zinahitaji mtu kutulia tu na tuone walichofanya sio kuanza jadili uvumi!! Wanaweza chelewesha pia kwakukosa hela

hilo nalo neno!za kulipa wasanii zipo,wafanyajob ndo balaa!
 
Back
Top Bottom