BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,250
- 11,924
- Thread starter
- #101
Atafanya hivyo kwa bajeti gani? Tumeshuhudia walimu wakuu wakipokea wageni wa mtihani wa taifa kwa fedha zao.Walimu tuna madeni kibao,nyongeza watoe wapi? Pia ni kweli tumekariri kwa kuwa haijawahi tokea kipindi kama hiki kuongezwa mshahara.
Mimi na wlm wengine wa ngazi yangu tunakatwa P.A.Y.E 15.7% ,kama wana nia njema wapunguze hiyo kodi ya mshahara(P.A.Y.E)
Tunapunguza We Tupe Kura Tu.