Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

hapa lazima kuna support wanayoipata toka some where haka kakikundi ni kadogo but mambo kanafanya ni makubwa na inaonekana wazi gvt inaelekea kukashindwa coz daily kanazngua kwanini wasitupiwe wazee wa JWT
 
nimetumiwa ujumbe kwamba habari hii mtu kutoka ughaibuni kaniambia wameonyeshwa kwenye tv ya huko haya mambo so sad kwakweli

tuambie basi ni Tv gani iyo ya ughaibuni isiyo na jina??usilete habari zisizokamilika.otherwise we ni mzushi.
 
Usitake Kuleta FITNA mimi nipo hapa Zanzibar na nasoma chuo ambacho kipo karibu na hilo Kanisa na wala sijaona kama limechomwa! Mods kama hamupendelei Dini moja tafadhalini ondoeni huu uzi haufai kuchangiwa.
 
Hivi hao waliokwisha kufa wamewahi kurudi kuwaeleza faida wanayopata huko waendako? Maana naona waislamu wanazidi kushikilia misimamo yao ya ajabu ambayo naamini ni mafundisho ya kidunia zaidi. Hivi bado allah akiulizwa anaendelea kuwafundusha hivyohivyo waislamu?... Inawezekana waislamu wa sasa hawajazungumza na allah kwa muda mrefu na ndiyo maana naye amewaacha waendelee na uo u wao vinginevyo naamini wangemuuliza allah angewaambia waislamu waache kufikiria kwa kutumia ******, wasikilize na kusoma lakini wachanganye na za kwao.

Mkuu, umeisha wahi kusikia dini hii hua na hata maono ya Kimungu? Hapa ni full majini tu, hakuna cha roho mtakatifu wala nini, sasa hvi wanafundishana namna ya kudhibiti watoto wa Kikristo mashuleni, wamekubaliana kuwatupia majini watoto wote wa Kikristo wenye akili shuleni, subirini mtasikia vipindi vya mitihani huko mashuleni!

Hii nayo kali!

 
uislam ni uadui,ukristo ni upendo.Pesa za mafuta wanazotumiwa na wafadhili wa kiarabu zinafanya kazi.Mara nyingi fedha za mafuta,madini ni za laana.
 
hao waomini wa kiislamu waache ujinga wa kuaribu amani maana mwisho wake ni si kama watz ndio tunaibika, mtu yoyote mwenye akili timamu huwa anajaribu kutufuta maisha mazuri kwa yeye na familia yake na sio kupigania ugomvi ambao unaishia kupoteza amani ya familia yake. kuna namna nyingi ya kupigania haki lakini vifo. achana fikira za kujipotosha wake up and look for a real fight. watanzania hatugombani tunatofatiana tu
 
...wanasapoti haya, wanaweza kusema ni kipi wanachopigania...maana mara makanisa yanachomwa, mali za watu binafsi zinaharibiwa, majengo ya ccm yanachomwa, polisi kauawa...nk.
Nahisi sielewi jamani...

YANI MIMI KM MWISLAM NAUMIA SANA KWA MATENDO AYA YA KIHUNI DHIDI YA AWA NDG ZETU WAKRISTU WASOKUWA NA HATIA, EH MOLE TUEPUSHE NA HII HATARI INAYOTUNYEMELEA, RIL NAUMIA SANA ROHO YANGu
 
YANI MIMI KM MWISLAM NAUMIA SANA KWA MATENDO AYA YA KIHUNI DHIDI YA AWA NDG ZETU WAKRISTU WASOKUWA NA HATIA, EH MOLE TUEPUSHE NA HII HATARI INAYOTUNYEMELEA, RIL NAUMIA SANA ROHO YANGu

Hahaaaa muislamu...kazi kweli kweli jamiiforums kimegeuka kijiwe cha propaganda za makanisa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hapa lazima kuna support
wanayoipata toka some where haka kakikundi ni kadogo but mambo kanafanya
ni makubwa na inaonekana wazi gvt inaelekea kukashindwa coz daily
kanazngua kwanini wasitupiwe wazee wa JWT
Gov. inajipanga Mkuu
 
kuna mtu amenipa taarifa kuwa kanisa la moja Anglican huko Unguja limechomwa mchana huu. Anayeweza kupata maelezo zaidi atujulishe.

hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....
 
Nigeria kwa kipindi chote ilipokuwa chini ya Rais mwislam ilikuwa shwari,lakini aliposhinda huyu wa sasa
Goodluck Jonathan ambaye ni mkristo fujo zikaanza.Sasa kwanini tusiamini nyie ni watu wa fujo.Wamasai
wakifanya fujo unakuta wanadai mahali pa kulishia mifugo yao,wakurya hali kadhalika.Hebu nikuulize wewe
mnataka nini mpaka yote haya?Rafiki zangu walikuwa waislam lakini sasa basi!!!!

Sisi tunadai haki zetu na kupinga unyanyaswaji tunaofanyiwa na mfumo kristo.
Lazima tuuondoe kwa gharama yeyote ile.
Hatuhitaji urafiki na watu wanaoshiriki kutudhulumu.
 
Hv jamani mzee wa anga hajatua hapa bongo toka Oman bado?
Aje akutane na faida yake!
 
Nahamia kwenye jokes angalau nitalala usingizi!Maana habari ni mbaya kila kukicha!Kwani kazi ya polisi si kutulinda tuwe salama?basi naenda lala wala sitaraji uamsho kuniamsha wala Ponda kuniponda!upuuzi mtupu,mmeshindwa kunyea biblia mambo yaishe?
 
juzi nimemfukuza kazi Housegirl wangu ambaye ni Muislam. Miezi miwili nyuma nimevunja urafiki wa kimapenzi na binti wa kiislam. Nime-delete from my phonebook namba zooote za marafiki wa kiislam.
 
Back
Top Bottom