Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

Nafikiri haya mambo yamepangwa, maana Mombasa, Unguja na Dsm, si bure wana lao jambo hawa jamaa.
 
Hii sio bure, wameanza mombasa,unguja na dar, imepangwa, inatakiwa wakristo tujipange hasa kulinda haya makanisa.
 
Kama ni kweli basi hali ni mbaya kuliko inavyoelezwa manake ile ni monumental building!!!!
 
hivi tatizo ni nini....
waislam hao wanashindwa kukaa meza moja na viongozi wa serikali na kuongelea kero zao kwaajiri ya utatuzi.
sasa wanaona ni bora wahamishie mgogoro huo kwa kugombana au kuharibu mali za wakristo
hii akili au matope...... mi naona hata hao wafuasi hawajui maana ya dini
hata kama ni jihad haikuwa kwa style hiyo.
 
Back
Top Bottom