TETESI:dr slaa kuunguruma jangwani 29/08/2015

TETESI:dr slaa kuunguruma jangwani 29/08/2015

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
wadau kuna news nimepenyezewa hapa kuwa dr slaa ataunguruma katika viwanja vya jangwani katika uzinduzi wa kampeni za UKAWA.chanzo hicho kimenyetisha kuwa dr ataenda kueleza ukweli kuwa CCM walitaka kumlubuni kwa kumweleza kuwa wangeweza mpa bilioni 4.7 kama angeweza kujiunga na chama hicho (CCM).chanzo hicho kimeenda mbali zaidi na kunidokeza kuwa dr slaa ataeleza jinsi CCM walivyoanza kumteka mke wake,mushumbusi kwa kusema kuwa kama mkewe angeweza kumshawishi dr na kujiunga CCM basi angepatiwa bilioni 2.1.baada ya kusema hayo mke wa dr slaa naye ataeleza ukweli wa jinsi mipango ilivyokuwa inafanywa.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuu wasije wakamuua kabla ya kampeni!!! Dr ni kiboko yao.
 
Jamiiforums haina maana tena Kama mtu akiota tu anachonga

Jangwani ipi nakati tushanyimwa
 
Kama ni kweli basi kuanzia sasa hadi jmosi Slaa iongeze ulinzi maana serikali na CCM mbinu kuu ya kunyamazisha midomo wakishindwa kukuthibiti!!!
 
Hii platform imezidi MAUWONGO inakera kama shm tunategemea kupata taarifa muhimu za mustakabali wa nchi, mtu anakuja anaandika MAUWONGO tujirekebisha no data no right to talk
 
Dah jangwani wametunyima labda useme kwenye uzinduzi 2
 
Pia ateleza kuwa EL anafutwa rasmi kwenye list of shame!!

Na atalamba matapishi rasmi.
 
Jamiiforums haina maana tena Kama mtu akiota tu anachonga

Jangwani ipi nakati tushanyimwa

Mkuu weye unadhani kuwa mafuriko yanazuiwa kwa mikono?? Jiandae kwenda Jangwani ile ya Darisalama wala sio Sahara. Tarehe 29/8/2015 kuanzia saa 12.00 asubuhi, ili uweze kumwona Rais mteule Lowasa akiwasha moto wa kampeni za UKAWA.
Imebidi nikueleze weye usiyejua habari ya mujini. Usiachekwenda na kopo la kujisitiri kwani kama ukipatwa na kale kaugonjwa huwezi toka pale mpaka ukajisitiri. Hakuna viti pale. Labda vya jukwaa kuu tu basi. Hizo kura tunaanzia hapo kuzihesabu kuelekea 25 Oktoba
 
Jamiiforums haina maana tena Kama mtu akiota tu anachonga

Jangwani ipi nakati tushanyimwa

Watunyima Vipi Wewe Fuatilieni Mambo Sio Mpaka Usikie Kwa Jilani, Tatizo Mnamiliki Sim Kwa Ajili Ya Kutafutia Madem
 
Endeleeni kuota ndoto za mchana, ndoto hizo siyo nzuri hata mgombe wangu alisema pale Jangwani?
 
Back
Top Bottom