TETESI: Diwani wa CCM Ajiuzulu na Kujiunga na CHADEMA

Kwa wale wanaojua Historia ya mnara wa Babel ndicho kinachotokea ccm sasa. Ila kuhusu Makamba ni kwamba huyu ameshakuwa mzee sasa hivyo cell za ubongo inawezekana zimeshachoka sasa Pia ukijumlisha yeye ni darasa la 7 bongo yake haikupata maarifa ya kutosha.
 
hIVI HAWA MADIWANI WA CCM ARUSHA WANASUBIRI NINI KUJIUZULU ILI WAIBUKE MASHUJAA?? AJABU!
 
Guys why don't you retrieve the speech from Makamba and get them back to him. Nadhani baadhi ya speech akili ikitulia anaweza kuzikana zimechakachuliwa!
 
Asante makamba kwa kuimarisha upinzani Endelea kupayukapayuka nanyi wa wilaya na mikoa wa CCM igeni kiongozi wenu payukeni Kama hamna akili mwenzenu wa arusha kiisha anza

Hii nimeipenda! Peopleeeeezzz!!!
 
hakika moyo wangu utajawa na furaha kama baadhi a wabunge wanamageuzi wa kweli wakiamua kujiunga upinzni, hiyo ni muv kubwa sana kuelekea kwenye mageuzi. natamani sana mabadiliko yafike mapema. SITTA, MWAKYEMBE,MAGUFULI,KILANGO na wengine mchachari huko hakuwafai kimbieni.
najua mpo kwaajili ya maslaho bnonafsi hapo ccm, lakini mkijiondoa na kuanza upya maisha yenu huku upinzani, myakuwa mashujaa wakubwa wa democrasia Tanzania kama vile desmond Tutu S.Africa. karibuni sana
 
Back
Top Bottom