TETESI: Diwani wa CCM Ajiuzulu na Kujiunga na CHADEMA

Wambugani

JF-Expert Member
Dec 8, 2007
1,757
276
Bwana Muna Qamunga, Aliyeshinda katika uchaguzi wa 31 Oktoba, 2010 kwa Kata ya Endasak, Wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, Kata anayotoka Waziri wa Nchi Uwekezaji na Uwezeshaji, Mheshimiwa Dr. Mary Nagu, amejiuzulu na kujiunga na CHADEMA na anatazamia kuwania tena kiti hicho kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Wabunge na madiwani wengine huko mnasubiri nini bado?

CCM ni nyumba iliyoshika moto mkubwa na mafuta yake ni MAFISADI waliomo mle ndani. Angalieni msije mkachelewa sana humo mkaunguliwa kila kitu.

Jiondoeni sasa hivi na baada ya miezi mitatu Nguvu ya Umma inakurudishia kiti hicho bila kutoa rushwa hata senti tano.

Chamsingi ni kuwa kiungo muhimu katika kutuwezesha wananchi safari hii kujiandikia KATIBA MPYA wenyewe, matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu kupitiwa upya na Tume ya uchaguzi kuundwa upya.

Milango bado iko wazi kwa Madiwani na Wabunge zaidi ambao tayari wamekwishagundua kwamba CCM ni Chama Cha Mauaji nchini.

Hivyo ieleweke kwamba kwa kuendelea kwako kubakia mle ndani tafsiri yake ni kwamba na wewe unaunga mkono Watanzania wenzako kuendelea kuuaua kinyama.
 
Wabunge huko mnasubiri nini. CCM ni nyumba iliyoshika moto mkubwa na mafuta yake ni MAFISADI waliomo mle ndani. Angalieni msije mkachelewa sana humo mkaunguliwa kila kitu.

Jiondoeni sasa hivi na baada ya miezi mitatu Nguvu ya Umma inakurudishia kiti hicho bila kutoa rushwa hata senti tano. Chamsingi ni kuwa kiungo muhimu katika kutuwezesha wananchi safari hii kujiandikia KATIBA MPYA wenyewe, matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu kupitiwa upya na Tume ya uchaguzi kuundwa upya.

Milango bado iko wazi kwa Madiwani na Wabunge zaidi ambao tayari wamekwishagundua kwamba CCM ni Chama Cha Mauaji nchini.

Umenisoma nilichotaka andika! Enyi wabunge wa CCM karibuni nyumbani CHADEMA
 
Umenisoma nilichotaka andika! Enyi wabunge wa CCM karibuni nyumbani CHADEMA

Wapo akina Sitta, Mwakyembe, Killango wanaoamini kupambana wakiwa humohumo ndani ya CCM. Wanadhani JK akimaliza awamu hii ataondoka na akina Makamba, Chenge, RA, EL( ingawa tetesi zilizopo ni kuwa hayuko nao tena, anajipanga kutoka kivyake).
 
Anne kilango jana nilikuwa nae hapa kwenye stationery katika jengo sijui mnaliitaje ilipo SH Amons kwenye round about ya askari, anamponda JK na Makamba kwa lugha ya kejeli utadhani sio viongozi wake. Haraka utabaini wapo wengi kwenye ccm wanaoipenda kwa mdomo lakini mioyo ipo mbali
 
Baba yetu Makamba asante kwa kazi tuliyokutuma jitahidi uimalize kabla ya kipindi chako kwisha mwaka ujao, kwik kwik.
 
Wapo akina Sitta, Mwakyembe, Killango wanaoamini kupambana wakiwa humohumo ndani ya CCM. Wanadhani JK akimaliza awamu hii ataondoka na akina Makamba, Chenge, RA, EL( ingawa tetesi zilizopo ni kuwa hayuko nao tena, anajipanga kutoka kivyake).

Kilango ni Vuvuzela huwa simwamini hata kiduchu!
 
Mzito Kabwela said:
Anne kilango jana nilikuwa nae, anamponda JK na Makamba kwa lugha ya kejeli utadhani sio viongozi wake. Haraka utabaini wapo wengi kwenye ccm wanaoipenda kwa mdomo lakini mioyo ipo mbali
Viongozi au watu wa aina iyo huitwa WANAFIKI.
 
Asante makamba kwa kuimarisha upinzani Endelea kupayukapayuka nanyi wa wilaya na mikoa wa CCM igeni kiongozi wenu payukeni Kama hamna akili mwenzenu wa arusha kiisha anza
 
Makamba anatakiwa kupewa tunzo kwani kwa mda mrefu sasa wapinzani wameshinda kuisambaratisha ccm!!
Lakini makamba amesambaratisha kwa kutumia taarifa za intellijensia mpaka imekosa ruzuku na kwenda upinzani!!!

Makamba amekuwa mpinzani ndani ya ccm kiasi cha kumupinga kikwete na nahodha!!!

Hakuna mtu katika upinazi ambaye aliwahi kumupinga mwenyekiti wake !!!

Big up makamba
 
Back
Top Bottom