Yapi hayo fanya kazi kaka. Soma na maandiko matakatifu wekeza maana hata kale kadogo kana manufaa. Tatizo letu ni kuwekeza kwenye vimwana kaka huko hakuna faida ndugu yangu. wenzenu wakiinuka mnadai mafisadi, mtaishia maneno tu badala ya kufanya kazi za maendeleo
Miaka 30ya utumishi sio michache we kufa tu na umaskini on pretence thatu will rather die poor kuliko kuwaibia watanzania. Sio kila mtu ni mwizi amka kaka acha kusingizia umaskini wako katika mafanikio ya wenzako[/QUOTE
tafadhali waombe radhi watu wenye uzalendo na nci yao, kuna walimu wamefundisha zaidi ya hiyo miaka 30 lakini ni maskini mbaya, kuna wauguzi wamelitumikia taifa muda mrefu sana lakini bado maskini, kuna makarani, wanajeshi, n.k, walijitoa kwa taifa lakini bado ni maskini, kutokana na watu kutafuna mapesa kana kwamba wao tu ndo wanatakiwa waishi!!kwa hiyo wewe unawalaumu watumishi kama hawa si ndiyo watetee, lakini, i have a dream, soon and very soon, the silent majority will take action na sjui mtajificha wapi.
Ndio maana hata vidole alivyoviumba mwenyezi mungu havilingani. Tofautisha kazi za watu ndugu yangu nenda kasome tena ili ujue hata hiyo tofauti.
THE HIGHER YOU CLIMB THE FURTHER YOU FALL
Wewe labda una yako ndugu yangu. Hivi kweli kwa mfano unaweza kulinganisha maisha ya meneja na messenger? kuwa hata kama wameajiriwa siku moja basi maisha yao yatakua sawa. Kwa nini mnaleta kufuru. Ndio maana kukawa na mgawanyo wa kazi. Hivyo please usiniambie nitake radhi kwani ni kama unajifanya huelewi lakini unaelewa. Huyu ni graduate wa havard unategemea kuwa atakuwa sawa na mwalimu? tafadhali ndugu yangu acha kebehi. Mkishindwa maisha mnasingizia wengine. Komaeni watanzania
I give up!!!
ugumu wa maisha unatokana na nini? Kuna hard working Tanzanians wanaamka alfajiri kila siku work hard wanalipa kodi guess what badala ya hiyo kodi kuleta maendeleo inaishia kwenye mifuko ya wachache...tukiulzia unasema hatutaki kufanya kazi? You have just insulted the hard working Tanzanians SHAME ON YOU!!!!
Mkishindwa maisha mnasingizia wengine. Komaeni watanzania
Shida yetu ni kutotaka kufanya kazi maisha yakiwa magumu tunatafuta mchawi. poleni watanzania kama kweli hii ndio dhana. jakaya ana kazi
Fausta,
Nilikwishasoma maandiko matakatifu siku nyingi sana mpaka nikawa na idea ya kuishi Cyber Village baada ya kuona siwezi kuingia katika mfumo.
Pili wewe hunifahamu mimi kama ni mtu wa aina gani lakini nakuhakikishia kwamba mimi ni mtu mwenye heshima zangu na ninaheshimiwa kwa ujuzi na maarifa yangu na kipato huku Cyber Village hakinipigi chenga, kwani ninakipata kihalali kwa utaalam wangu. Usione nimesema occupation hio ukadhani ninakudhihaki.
Nikutanie kidogo, siku moja nilijiuliza hivi huku Cyber Village siwezi kuokota hata senti ishirini tu? Lakini ukifanza kazi kwa bidii basi unakuwa "rewarded".
Mimi napenda majadiliano yenye kujenga na sio kubomoa, wewe hupangi hoja unakuja nazo zikiwa hazijakamilika, lakini karibu hapa jamvini hiki na usije ukalidharau kabisa.
Wewe labda una yako ndugu yangu. Hivi kweli kwa mfano unaweza kulinganisha maisha ya meneja na messenger? kuwa hata kama wameajiriwa siku moja basi maisha yao yatakua sawa. Kwa nini mnaleta kufuru. Ndio maana kukawa na mgawanyo wa kazi. Hivyo please usiniambie nitake radhi kwani ni kama unajifanya huelewi lakini unaelewa. Huyu ni graduate wa havard unategemea kuwa atakuwa sawa na mwalimu? tafadhali ndugu yangu acha kebehi. Mkishindwa maisha mnasingizia wengine. Komaeni watanzania
Tafadhali onyesha maturity! nadhani we ni mtu mzima usiongee kitoto.mishahara ya wafanyakazi wa serikali ni kiasi gani kumfanya chenge awe tajiri namna hiyo!!!???hao mawaziri wanapitwa na vijana wadogo tu waliopo kwenye private sector.Kwanza, hivi unajua huyo waziri wako uleng'ang'ania harvard graduate alikua analipwa kiasi gani kwa mwezi? au unapayuka tu
Niliorodhesha hao watumishi ili uona importance ya watumishi wengine kwa taifa ambao still ni maskini, au unasoma juu juu!!
Wewe labda una yako ndugu yangu. Hivi kweli kwa mfano unaweza kulinganisha maisha ya meneja na messenger? kuwa hata kama wameajiriwa siku moja basi maisha yao yatakua sawa. Kwa nini mnaleta kufuru. Ndio maana kukawa na mgawanyo wa kazi. Hivyo please usiniambie nitake radhi kwani ni kama unajifanya huelewi lakini unaelewa. Huyu ni graduate wa havard unategemea kuwa atakuwa sawa na mwalimu? tafadhali ndugu yangu acha kebehi. Mkishindwa maisha mnasingizia wengine. Komaeni watanzania
graduate wa Havard aliyeajiriwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa TZ hawezi miliki fedha zote zile wewe.acha kutufanya sie mabwege.
and remember hizo fedha kazipata in near future(something smells fishy)
we kugraduate Havard ndio umeona Ticket to richness??then u r soo saddening
Sina haja ya kukufahamu kwani hili si muhimu hapa. Cha muhimu ni kuangalia dunia inavyoenda ndugu yangu vinginevyo mtatafutana mchawi wakati wenzenu wanasonga mbele. Ndugu yangu mimi ni mtanzania pia ambaye kwa kile kidogo nilichokopata nimekiwekeza sahihi na ndio maana napata kichefuchefu ninapoona watu wanachonga sana na kutakia wenzao mabaya hata kudiriki kusema wamekunywa sumu. Hakuna mtu aliyezaliwa maskini bali tunauendeleza sisi ukiwa na roho ya kimaskini hata Mungu hufunga milango yako. Hebu elekezeni fikra za watanzania katika maendeleo badala ya maneno tu ambayo wala hayawasaidii.
acha kudhihaki watu wewee!!
umasikini wa watanzania sio wa kujitakia,wameletewa..,over a long period of time.na viongozi wasiojali utu na maslahi ya taifa.
i would say an average Tanzanian is overworked.have you ever seen how much farmers,fishermen's,machingas struggle in their daily basis?you probably haven't if you don't know that,then don't ask why or how..,since you have no clue.
we are poor as a nation because of guys like you and co.you just don't feel that Tanzanians deserve a better present and future.you make life hard for people,then mnaita watu wavivu. aaaaaaagh.
Ndio tatizo la wizi, huwezi kuwa makini hata siku moja. Na tatizo linakuja zaidi pale mtu anapoanza kuiba huanza na kuiba kidogo, the anasikilizia. Akiona hakuna aliyegundua basi anaendelea na kuiba kikubwa zaidi without taking any precautions and thinking that all others are cowards and him managing deals he is brave. Ndo hayo sasa yanawatokea puani, iwe kanyweshwa au kanywa anajua alipokosea anataka kuchukua tactic ya Mkwawa.
Hivi mtu akiiba kweli atapeleka fedha hizo bank? Yu mzima wala hajanywa sumu mnazusha tu tuwaulize kwa nini? mnaogopa nini kusubiri majibu SFO mnakuwe nyie waendesha mashtaka, mawakali majudge na walinzi wa gereza?
Wakati mwingine naona bora wafe tu kwa kuwa hata wakiishi hawatusaidii chochote,sana sana wataendelea kutuibia tu. Wataishia kukimbia na kujificha tusipopajua au wataamua kugeuka mabubu. Tulimuombea Balali hapa asife ili atuambie ukweli but up to now he has been an absolutely dissapointment. Mkapa is another waste of space! Na hawa wote kwa taarifa yenu hata tukienda mahakamni watashinda, bora wauane wenyewe kwa wenyewe ili tuchukue mali zetu kiulaini.
Au iondolewe kabisa kwanza, maana mtu anapoiona anadhani ni kweli na inastua mno. Kila ninapoona post mpya nakimbilia kufungua nikidhani kuna uthibitisho lakini hola! Alternatively, zipitishwe kwa moderator akiona kuna chembe ya ukweli atuwekee.
Tulishawahi kuambiwa hapa mtu fulani kafa basi tukaanza kumimina salamu za rambirambi na kuombea marehemu, kumbe haikuwa kweli, watu tukaumbuka wazima wazima! Chonde wakuu!
long story made short ni kwamba there is no way mfanyakazi muadilifu wa serikali ya nchi iliyopo top ten ya umasikini zaidi duniani,akamiliki $1,ooo,ooo,un-attended!!that is just soo naive even to consider.
ameziiba hizo pesa,be it through RADA au through mikataba mingine.HE and ONLY himself knows the truth.
Guts za kuiba that much from such poor nation as TZ clearly state that the guy is not the SUICIDE type!!He is soo selfish that killing himself is unthinkable!!
UNLESS U tell me he has made a deal with the devil,to stay rich forever in the after life!
Na wataumbuka kweli maana chenge yu mzima na anakunywa bia yake baridi. Wanaosubiri ajiuue watangoja kama fisi anavyosubiri mkono wa binadamu. Huu ndio ufisadi wa kuwaua wenzenu kwa manufaa yenu mtajinyonga siku zi zenu mumwache chenge hai.,
There is no life after death. U just have to study and understand the character of the person ur talking about. Thats what most of us are missing out. U can not go to any of the IVY league institutions if ur a dumb bell
why dont you try ur own future through havard?graduate wa Havard aliyeajiriwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa TZ hawezi miliki fedha zote zile wewe.acha kutufanya sie mabwege.
and remember hizo fedha kazipata in near future(something smells fishy)
we kugraduate Havard ndio umeona Ticket to richness??then u r soo saddening
You mean IPPMEDIA/MWANAHALISI et al?
dont bet on them