murra wa marwa
Senior Member
- Apr 24, 2008
- 150
- 2
HABARI NDIYO HIYO
fAMILIA YA MBUNGE WA BARIADI MH. ANDREW CHENGE IMEKANUSHA UVUMI ULIOENEA KILA MAHALI KWAMBA WAZIRI HUYO WA ZAMANI WA MIUNDOMBINU KABWIA SUMU NA KUFA.
MAI WAIFU WA MH. CHENGE, MAMA TINA CHENGE (AKIWA NA MUMEWE PICHANI) , AMELONGA NA GLOBU HII DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA NA KUSEMA KWAMBA HABARI HIZO AMBAZO HATA YEYE AMEANZA KUZISIKIA TOKA JANA KWA KUPIGIWA SIMU KILA DAKIKA KUPEWA POLE SI ZA KWELI NA KWAMBA MAI HAZBENDI WAKE YUPO HAI NA ANAENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KILA SIKU KAMA KAWAIDA.
NAOMBA KUWASILISHA, HABARI NDIO HIYO...
"MZEE YUPO DAR NA YU BUHERI WA AFYA NA LEO KENDA MJINI KWENYE SHUGHULI ZAKE" AMESEMA MAMA CHENGE.
umeicopy kwa michuzi- muacknowledge basi.
umeicopy kwa michuzi- muacknowledge basi.
KAMA MIMI NDIO NIMEMPA HABARI MICHUZI JE ? YEYE SI NDIO AWEKE LINK YANGU AU ?
Moderator, Tafadhari naomba hii topic ifutwe kabisa kwenye hii forum na wahusika wa udaku huu wafungiwe kwa siku tatu. Naomba kutoa hoja!!!!
Murra... unaweza kuangalia hapa pia: http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=3004
Mr. Zero, Bearing in mind JF's motto of daring to talk openly , would you please give your reasons? Thank you !Moderator, Tafadhari naomba hii topic ifutwe kabisa kwenye hii forum na wahusika wa udaku huu wafungiwe kwa siku tatu. Naomba kutoa hoja!!!!
asante sana kumbe sio mara ya kwanza kufanya hivi, na kwenye hiyo link nimepata kungámua kumbe kweli madai ya kuwa shy ni shushushu ni ya kweli shy@usalama.go.tz , mtu wa kumuogopa huyu hakawii kuku.....
Murra, Mang'ana Murra?,
Moderator naomba nilindwe. Kwakuwa Shy aka majina kibao kwenye posting zake nyingi ametaja jina lake la Yona Fare maro, labda kwa kutaka umaarufu au vinginevyo, naomba niweke mambo kadhaa wazi. Hii ni kwa ajili ya kutoa hofu watu hapa JF.
Yona ni kijana mdogo tu hata 30 yrs hajafika, ana struggle na maisha sana tu na mhangaikaji mzuri tu. Ni muajiriwa kama technician wa PC na related items, kama anavyosema yeye mwenyewe kituo chake cha kazi ni UDSM (sipendi kwenda in details)
Yona sio Mtumishi wa usalama wa Taifa kabisaaaaaa. Ni Yanki tu anayependa umaarufu. Kitu kimoja ninachomsifia ni upiganaji wa maisha, hajabweteka ingawa mzee Maro ana hela za kutosha na amejiwekeza kwenye nyumba za kupanga.
Kwahiyo eleweni hivyo, hata Ethinktank anazua utata kila mara, anachofanya ni post za hapa anapeleka kule na vice versa. Ni COPYCAT mzuri sana, na muigiliziaji sana ni mara chache sana anatoa maoni yake binafsi; mengi anacopy mahali.
Ni kijana anayekuwa, akikua ataacha.
Mod kama nimeboa unaweza kudelete.