TETESI: Ajira za uwalimu 2019

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Kwa wale wanaofuatlilia usajili wa wanafunzi wa kidato cha Kwanza wataona idadi ni kubwa hivyo basi Kuna uhusiano wa 1kwa1 uhitaji wa walimu wa masomo yote.. Nimepita mtaani watu wanaongelea Sana swala hili pia wanachanganya na tukio la mwaka 2020 yaani mwakani hapa nchini.. Mwenye uweledi hapa atiririke hii dhana!

Wasaalam,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kwa walimu mlioko mtaani,pambana upate hata mtaji mdogo ufanye biashara/ujasiliamali wowote,utasema mtaji huna,ok,anza hata na ishu za udalali wa nyumba,mashamba na vitu mbalimbali angalau upate mtaji,dalali haitaji capital,ni uchangamfu wako/socialization na kujituma...kuajiliwa ni utumwa,dunia haina bilionea mwajiliwa wa serikali
Nimetoa njia tu,waweza fanya vinginevyo kupata mtaji
Usiseme haiwezekani/umeshindwa,pambana mpaka ushindwe,kila jambo huanza kwa ugumu kabla ya kuwa jepesi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaishi kwa tetesi kuja kutahamaki uzee huo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom