Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,709
- 103,545
Orange si kampuni ya Makaburu bali ya Wafaransa! Big up kulinganisha na hawa wababaishaji wa sasa ila walipe capital gain tax
Naona kuna haja ya kuweka sheria kampuni ikishatimiza miaka mitano ata ibadilishe majina mara kumi ni kunyuka kodi tuu maana sasa huu uhuni!