Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
- Thread starter
- #21
Inawezekana bonde la ufa pia likawa ni chanzo mkuuPoleni sana. Kanda ya ziwa kuna tatizo la kijiografia I guess linalosababisha matetemeko
Inawezekana bonde la ufa pia likawa ni chanzo mkuuPoleni sana. Kanda ya ziwa kuna tatizo la kijiografia I guess linalosababisha matetemeko
Asante mkuupoleni kwa hofu
Asante mkuuPoleni sana!
AsantePoleni sana
exactlyInawezekana bonde la ufa pia likawa ni chanzo mkuu
Ww ni msukuma og mkuu au? wa dasalaam,tuanzie hapo kabla ya poleKwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
dalili za siku za mwisho; matetemeko, vita, maasi, njaa........!!Ya Kagera Yaepuka Hapo Mwanza
dalili za siku za mwisho; matetemeko, vita, maasi, njaa........!!
Syria, Yemen, ukanda wa Gaza.....!
YAJAYO...........!
Rift valley..... Siyo lift valley.ha ha! mapigo ya moyo yaliongezeka kiasi tu,kidogo nilianzishe kutoka nje nilihofia lingechanganya zaidi ya hapo mambo yangekuwa tafrani usalama ungekuwa mchache.. huenda likawa limepita na mikoa mengine ila kwa mwenendo huu nahofia lift valley maana yamefululiza tokea 2016!
Vipi maeneo ya chato limefika?Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha