Tetemeko la Ardhi tena Kagera

Tetemeko la Ardhi tena Kagera

Status
Not open for further replies.
Poleni sana na Mungu awanusuru
Vipi hali halisi na usalama kwa ujumla kwa muda huu usalama wa watu na mali zenu upo vipi?
Mkuu ni ngumu kufahamu maana muda huu ni usiku sana. Mm nipo guest house nimelala, binafsi nimelisikia pia likiwa lipo mwishoni.
 
Aisee sijui Bukoba kuna shida gani. Mama mzazi kanipigia simu mida hii, kuona tu call nikawaza msiba wa mtu wa karibu moyo ukanienda mbio.,kumbe ananipa taarifa za tetemeko na tuwaombee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom