Tetemeko la Ardhi tena Kagera

Tetemeko la Ardhi tena Kagera

Status
Not open for further replies.
kuna watu fulan wanaombea litokee kubwa wapate majeneza mengine waanike pale uwanjan wapate mitaji, unajua ni akina nan hao, tafadhali usiseme utatukumbusha wana bk majonzi yetu. Mtu kafiwa na ndugu zake, nyumba yake imebomoka, mali zake zmeharbk, anategemea kupewa faraj mambo yanakuwa kinyume, acha tuuu
 
Limepita tetemeko muda si mrefu

Usiku huu saa saba na dakika 23 mjn Bukoba tetemeko dogo limepita limechukua kama sekunde 15 hivi.
Kama una ndugu yako bukoba mwambie alale kwa tension maana huwa linakuja kwa series of waves hivyo linaweza jirudia mda wowote.

Nilikua busy na movie kupoteza mawazo kwa yaliyojiri nchini nikaona glass inacheza mezani nikamute tv ndo nikalisikia kwa sauti likiunguruma.
Poleni. Sasa muanze kujipanga.
 
Likitokea msijal nenden mkaidai ile pesa yenu tuliyowachangia mkadhulumiwa
 
Kama nilivyo aeleza niko bukoba
Nimesikia mtetemeko wa ardhi ukipita mda wa usiku huu nashukukuru hailikuwa kubwa perhaps haijareta madhara
Haujasahau kidhungu nyie wahaya wapuuzi sana..! Eti PERHAPS.. Ungesema hii earthquake haikuwa na too much affects kwa mfano for example foristance nyumba hazija fall down.
 
Limepita tetemeko muda si mrefu

Usiku huu saa saba na dakika 23 mjn Bukoba tetemeko dogo limepita limechukua kama sekunde 15 hivi.
Kama una ndugu yako bukoba mwambie alale kwa tension maana huwa linakuja kwa series of waves hivyo linaweza jirudia mda wowote.

Nilikua busy na movie kupoteza mawazo kwa yaliyojiri nchini nikaona glass inacheza mezani nikamute tv ndo nikalisikia kwa sauti likiunguruma.

Nafikiri huyo alikuwa chatu tu chini ya nyumba yako alikuwa anatafuta namna ya kukupata baada ya kusikia harufu yako ndani ya nyumba, hivyo akawa anatafuta namna ya kukupata. Toka ndani na uikimbie nyumba yako, haraka sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom