Tetemeko la ardhi limepita jijini Mbeya

Tetemeko la ardhi limepita jijini Mbeya

Za asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann

Kwamba hujui Mbeya ipo bonde la ufa?

Na ni kitu cha kawaida maeneo yalipo bonde la ufa kupata matetemeko madogo ya ardhi...

Kwa leo tetemeko lilikuwa la kipimo cha 4.7, hili unalihisi kabisa hata kama huna uzoefu wa matetemeko...

Screenshot_20250516_064714_Chrome.jpg
 


Kawaida hiyo, kuna mvua ya mawe huko, radi, kuna kipupwe mabati yaezuliwa yanapaa angani likikutana nawewe unatoa macho sadaka hiyo.
Radi ikikufinya mahali huchomoi
Ndo ujue tuliokulia huko msituchukulie poa
hiyo Mikasa unajua tu tarehe.unajifukia kwenye mapagalala yetu.
Ukienda kuzurula utakalokumbana nalo usituulize.
 
Back
Top Bottom