Tetemeko la ardhi latikisa Zambia na Tanzania

Hata Rungwe Tukuyu mida ya saa 9 usiku tuvibrations kidogo tumetokea
 
Bbc wametangaza kuwa limetokea saa 9:34 usiku wa kuamkia leo watu na wanyama wamesikika wakipiga mayowe,,,bbc wamesema watatoa updates hivi punde endelea kuitegea sikio maana vyombo vyetu vya habari vimelala usingizi wa pono
 
Poleni sana Mungu awape nguvu wote mliofikwa na tetemeko.

Naskikitika kwamba sisi serikali hatukulileta kwa hiyo anzeni kujijengea.
 
Mmmmhhhh......vyombo vyetu vya habari au vinaogopa kuripot kwanza ili visiulizwe nan kakupa kibali????, so now chanzo chao itakuwa BBC!!!!
 
Bbc wametangaza kuwa limetokea saa 9:34 usiku wa kuamkia leo watu na wanyama wamesikika wakipiga mayowe,,,bbc wamesema watatoa updates hivi punde endelea kuitegea sikio maana vyombo vyetu vya habari vimelala usingizi wa pono
Wanyama wanapiga mayowe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom