kuwa na viewers wengi haiondoi ukweli kuwa ITV iko bias. kama una chicken head huwezi kunielewa.Irrelevant and immaterial... Umeshafuatilia tafiti za media house hapa nchini? Kaangalie ni TV station ipi inaongoza kwa viewers wengi... Habari ya kuajiri wachaga au wamakonde inaingiaje kwenye huu uzi?
Angalia habari za channel ten au Azam TV jinsi zilivyo balance.