Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Bitch ass fool, aliyesema anataka ukasirike ni nani. Kwanza nilim'quote mtu mwingine iweje ujibu wewe.Nacho shukuru mambo ya fairy tale kuhusu uchawi na mengine yanayo endana na imaginations hua siamini, zaidi zaidi watu wa namna hiyo kama yako nawaona kama ni wajinga mliokubuhu. Kama ulilenga kunifanya nikasirike hiyo ni shoot off target
kwani nani anayepigana ili asonge nyuma?
Na kila achievement ni lazima iwe nzuri?
Kufanya collabo na wasanii waliosambaa kwenye gemu hiyo ni achievment ya kusonga mbele?
Pia duniani kuna mijitu mijinga kila itapoona mtu mwingine ana mawazo tofauti na yeye yanaanza kuleta ujinga wa personal experience kumuita mchawi
Roho za kichawi ni hadithi tu hizo ambazo hazi make sense kwangu pengine jaribu kwa wajinga wenzako ndiyo wanaweza kulichukulia kama tusi. Hapo nimemsema mwingine ambaye hata hakujui ni shobo zako tu, lakini cheki ilivyo kuuma mpaka unatukana ningekusema wewe ingekuwaje?
Iwe kaingia juzi au kaingia jana hiyo haifanyi kua wasanii alowashirikisha wako kwenye chat ya hot 100 billboard
Na hiyo nilikuwa na'express maoni yangu hivyo hautakiwi kuichukulia personal, si lazima maoni niyatoe kwa na namna ya kukufurahisha wewe. Hizi ni arguments tu nothing personal, you're reacting so stupidly.