Storm shadow
Senior Member
- Jul 5, 2019
- 167
- 133
Mkuu ivi kumbe unaweza kumshirikisha Dj khalid kwenye nyimbo yako eh?Wasanii wa bongo bwana wanawashirikisha wasanii wa ajabu ajabu tu,mchukue chris breezy,dj khaleed,meek mill,movado mtu mbaya,drake,weezy,offset ...
Sasa wao sijui wanakwama wapi!
anaonyesha unene wakeMkuu ivi kumbe unaweza kumshirikisha Dj khalid kwenye nyimbo yako eh?
Huwa anaimba mziki wa aina gani?
Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogoMkuu ivi kumbe unaweza kumshirikisha Dj khalid kwenye nyimbo yako eh?
Huwa anaimba mziki wa aina gani?
anaonyesha unene wake
Hujawahi kumsikia dj khaled akirap? Kasikilize All I Do Is Win remixMkuu ivi kumbe unaweza kumshirikisha Dj khalid kwenye nyimbo yako eh?
Huwa anaimba mziki wa aina gani?
inakuwa vigum sana kwa African artist kupata collab ya wasanii was nje ambao wakohit kwa sasa ila wizkid na Davido wamewezaWasanii wa bongo bwana wanawashirikisha wasanii wa ajabu ajabu tu,mchukue chris breezy,dj khaleed,meek mill,movado mtu mbaya,drake,weezy,offset ...
Sasa wao sijui wanakwama wapi!
😂😂😂😂Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...
Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
sawa ila wabongo wange support mziki wao kama walivyo Latin people kungekuwa na African billboardHapa naskiliza msumari wa Davido ft Chriss Breezer....
Hahaha wewe jamaa fala sanaUnamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...
Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
DJ khaled ameshashiriki ngoma kibao (ambazo sio zake) ikiwemo dinero ya Jennifer Lopez na cardi b ambayo ilishinda category ya best collaboration katika tuzo za VMAs mwaka janaMkuu ivi kumbe unaweza kumshirikisha Dj khalid kwenye nyimbo yako eh?
Huwa anaimba mziki wa aina gani?
Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...
Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
Sio mbaya anatuwakilisha vyema kuliko taifa starsHivi mohombi bado ni msanii?
Diamond anakwama wapi anaacha kushirikisha wasanii walioko kwenye chati kama mwenzake davido anaenda kuchukua magaka
I love a good music....sawa ila wabongo wange support mziki wao kama walivyo Latin people kungekuwa na African billboard
Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...
Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k