Tetema remix Rayvanny Ft Pitbull,Mohombi,Jeon & Diamond Platnumz

One step at a time, music industry ya Nigeria iko juu sana na ndiyo wanaongoza katika Afrika. Hawa madogo wa kwetu bado hawajafika level hizo(ki nguvu ya connections, kipesa na hata ile aggressiveness ya Wanaijeria kwenye kuusukuma muziki wao) lakini let's give credits kwao kwani ndiyo wanaofungua njia kwa Wabongo watakaofuata, nani angefikiri watu watakuja kuleta maneno ya dharau kwa mwanamuziki wa Bongo kwa kumshirikisha Pitbull eti hayuko kwe level ya kushirikishwa,really? Hao wanaoleta dharau wame'achieve nini kwenye maisha katika fani zao(hata kama ni useremala) kimataifa?
Wivu ni ugonjwa mbaya sana.
Kongole kwa Vannyboy,Diamond na crew nzima iliyowezesha hiyo 'kolabo'. Wanazidi kujifungulia milango kimataifa.
Not easy! but it's possible
Mbona akina davido wameweza
 
Publicity ni publicity tu, regardless umemtumia porn star au nani. Inakuongezea mileage kwenye muziki wako. Views ni moja ya indicators ya kujulikana, kukubalika au kupendwa kwako au muziki wako, views hukuongezea kipato na hata kukuongezea nafasi zaidi za endorsements na advertisements kwani makampuni at this era vigezo vya kujulikana au kukubalia kwa artist hufuatilia pia on what trends more on social networks and so number of views counts.
Kukubalika kwa msanii hakupimwi kwa kuangalia views.

Watu wanaweza wakaingia youtube kuona video lakini si kwa lengo la kuvutiwa na uimbaji yaani kukawa na kitu tofauti kabisa

Mfano kuna ngoma ilitolewa mwezi uliopita inaitwa mia khalifa. Ngoma ilikiki sana viewers kibao kwasababu ya lile jina la yule pornstar kwaiyo huwezi kusema kua yule msanii anakubalika sana kwa kigezo cha kuangalia idadi ya views
 
Wengi mnaosema hao wasanii ni wa ajabu, fuatilia kwanza.

Mohombi kila mtu anamfahamu na asiye mfahamu Basi huyu ni mmoja kati ya wasanii wa Africa/Wenye asili ya Africa wenye mafanikio.

Pitbull mnafahamu "Mr. Worldwide"

Jeon ni msanii nguli aliyetamba na wimbo wa "Machika" akishirikiana na J Balvin "King of Reggaeton"

Hongera WCB mnatangaza Taifa kubwa la Tanzania.
Kwa mgongo wa chupa, mpake mohombi asije kupauka

Mohombi mwenyewe angepata bahati angesoma coment yako hii bila shaka angetabasamu.

Jamaa unafaa kuuguza! mgonjwa. siku tatu kalala hajaamka anapumulia mashine kashindwa kunywa hata uji lakini bado unapata ujasiri wa kuuza godoro uendelee kumuuguza kwa kutumaini kua atapona

Mohombi Alishawahi kuingiza mguu billboard mara moja tu tena ilikua 13/5/2015 huku akishika namba 66 tena ngoma alikua ameshirikishwa inaitwa i need your love. Aliingia billboard kwa kutembelea nyota ya mwenzake kwaiyo hata hizo viewes za siku mbili zilizopatikana kwenye hiyo remix sio kwa ushawishi wake anavyokubalika bali katembelea nyota za wengine
 
One step at a time, music industry ya Nigeria iko juu sana na ndiyo wanaongoza katika Afrika. Hawa madogo wa kwetu bado hawajafika level hizo(ki nguvu ya connections, kipesa na hata ile aggressiveness ya Wanaijeria kwenye kuusukuma muziki wao) lakini let's give credits kwao kwani ndiyo wanaofungua njia kwa Wabongo watakaofuata, nani angefikiri watu watakuja kuleta maneno ya dharau kwa mwanamuziki wa Bongo kwa kumshirikisha Pitbull eti hayuko kwe level ya kushirikishwa,really? Hao wanaoleta dharau wame'achieve nini kwenye maisha katika fani zao(hata kama ni useremala) kimataifa?
Wivu ni ugonjwa mbaya sana.
Kongole kwa Vannyboy,Diamond na crew nzima iliyowezesha hiyo 'kolabo'. Wanazidi kujifungulia milango kimataifa.

Nigeria kimuziki iko juu achilia mbali uchumi wao. Juzi nilimskia casper nyovest anasema anatamani angeishi Nigeria awe raia wa kule

Sasa davido ndio kwanza katoa kichupa na breezy ambaye yuko nafasi ya 6 kwenye hot 100 ya billboard na anangoma za kushirikishwa zinazo bamba achilia mbali hii blow my mind mfano ile ya deleigh easy remix iko vizuri kila idara

Sasa mtu unakuja kufanya collabo na msanii kama mohombi mwenye ana album mbili moja ya 2011 nyingine ya 2014. Inamaana kutoka 2014 hadi 2019 hapo katikati miaka mi 5 yote alikua analima korosho? Huyu anatofauti gani na chief maker wa hapa bongo??
 
Mkuu ivi kumbe unaweza kumshirikisha Dj khalid kwenye nyimbo yako eh?
Huwa anaimba mziki wa aina gani?

a hahaha... mzee wa maneno matatu tu nyimbo nzima. “we de best.,,” kwisha habari halafu unaambiwa yeye ndio mwenye nyimbo
 
Kwa mgongo wa chupa, mpake mohombi asije kupauka
Mohombi mwenyewe angepata bahati angesoma coment yako hii bila shaka angetabasamu.
Jamaa unafaa kuuguza! mgonjwa siku tatu kalala hajaamka anapumulia mashine kashindwa kunywa hata uji lakini bado unapata ujasiri wa kuuza godoro uendelee kumuuguza kwa kutumaini kua atapona
Mohombi Alishawahi kuingiza mguu billboard mara moja tu tena ilikua 13/5/2015 huku akishika namba 66 tena ngoma alikua ameshirikishwa inaitwa i need your love. Aliingia billboard kwa kutembelea nyota ya mwenzake kwaiyo hata hizo viewes za siku mbili zilizopatikana kwenye hiyo remix sio kwa ushawishi wake anavyokubalika bali katembelea nyota za wengine
Siyo Remix tu amechukua tuzo ya uandishi wa nyimbo official ya "Mi Gente"

Unaonekana una chuki na Mohombi! Alikukosea?

Acha uswahili wa kusubiri mtu afikwe na umauti ndio umsifie, mimi siyo mnafiki naona anahitaji pongezi na heshima amelitangaza bara la Africa na kuwakilisha vyema.

By the way! Ni maoni yangu, nimeona ni bora kama inavyoona si bora. Endelea kutembelea nyota ya Kiranga.
 
Nigeria kimuziki iko juu achilia mbali uchumi wao. Juzi nilimskia casper nyovest anasema anatamani angeishi Nigeria awe raia wa kule
Sasa davido ndio kwanza katoa kichupa na breezy ambaye yuko nafasi ya 6 kwenye hot 100 ya billboard na anangoma za kushirikishwa zinazo bamba achilia mbali hii blow my mind mfano ile ya deleigh easy remix iko vizuri kila idara
Sasa mtu unakuja kufanya collabo na msanii kama mohombi mwenye ana album mbili moja ya 2011 nyingine ya 2014. Inamaana kutoka 2014 hadi 2019 hapo katikati miaka mi 5 yote alikua analima korosho? Huyu anatofauti gani na chief maker wa hapa bongo??
Acha uswahili wewe fuatilia Mohombi ana albamu yake imetoka hivi karibuni na imefanya vizuri bara Europa.
 
Publicity ni publicity tu, regardless umemtumia porn star au nani. Inakuongezea mileage kwenye muziki wako. Views ni moja ya indicators ya kujulikana, kukubalika au kupendwa kwako au muziki wako, views hukuongezea kipato na hata kukuongezea nafasi zaidi za endorsements na advertisements kwani makampuni at this era vigezo vya kujulikana au kukubalia kwa artist hufuatilia pia on what trends more on social networks and so number of views counts.

Hivi unaelwa ile nyimbo ya nyegezi ilipata views nyingi si kwasababu ilikua inamashairi mazuri yaliyopendwa bali ni kuangalia maudhui yaliyosababishwa kufungiwa?

Kama views ni njia moja ya kujulikana mbona haziendelei hizo views za M3.2 kwa siku mbili kwa kila ngoma yake mpya anayoitoa??

Hapo ni sawa na kipindi kile gwajima alivyokua ana battle na makonda watu walikua wanaenda kanisani wengi lakini sio kwa kengo la kusikiliza mahubiri bali ni kusikiliza nini atasema leo kutokana na mkasa wa makonda dhidi ya clouds. Bifu limeisha nyomi ya pale kanisani imetoweka sasa kama nyomi ilikua inamsaidia kukuza jina mbona saizi hawajai kama kipindi kike?
 
Siyo Remix tu amechukua tuzo ya uandishi wa nyimbo official ya "Mi Gente"
swala la uandishi si muhimu sana maana hata barnaba pia anaweza na ukishaitwa msanii pia ni pamoja na uandishi japokua wachache wanafeli.

Lakini uandishi pekee hautoshi kumfanya akubalike

Kama ni mwandishi mzuri mbona hatumuoni kwenye Billboard? huo uandishi anafanya kwa lengo gani sasa kama nyimbo zake zimefichwa na wasanii ambao hawajulikani kwa sifa ya uandishi?

Unaonekana una chuki na Mohombi! Alikukosea?
hapana sina chuki. Ila navyoongea ukweli it sound like I'm holding a grudge against him. Sifa anazostahili anapewa ila asipapite kwao

Acha uswahili wa kusubiri mtu afikwe na umauti ndio umsifie, mimi siyo mnafiki naona anahitaji pongezi na heshima amelitangaza bara la Africa na kuwakilisha vyema.

mnafiki ni yule ambaye yuko tayari kumpa sifa asizostahili kwa kigezo kua usisubiri mpaka afe. Mimi hapa namu encourage asibweteke akajua ametusua kwa zile album zake mbili akahisi kua tayari amesha kata kiu ya mashabiki wake na anastahili pongezi.

Bara la africa halimuitaji mohombi ili kulitangaza, lingekua bara hili linamuhitaji mohombi basi lilikua lishasahaulika maana mtangazaji amesizi huu mwaka wa tano anacheza tu makida

By the way! Ni maoni yangu, nimeona ni bora kama inavyoona si bora. Endelea kutembelea nyota ya Kiranga.
Hata usingesema kua ni "maoni yako" tulishajua kua ni maoni yako na ndio maana hayako sawa yamejaa assumption za kijinga zisizopimika
 
Poor these kids, hawajui walisemalo. Wanaijua connection kuwafikia hao wasanii wakubwa wanaohit, mkwanja je? Mbeleko za promoters wakubwa na watu wa media ambao wa west wamezishika sana hizo fursa toka kitambo. Bongo Msanii akitoboa ujue amekaza sana, sana, tena sana, vikwazo ni lukuki.
ugumu ulishajidhihirisha wenyewe when you talk about media za west na promotes jamaa wanalinda soko lao nakumbuka black cofee( South African artist) alikataliwa collabo na usher Raymond licha ya kuwa alifanya kazi na wengine kama Alicia keys ni ukweli usiopingika kwamba kupata collabo ya msanii wa majuu anayehit ni
 
swala la uandishi si muhimu sana maana hata barnaba pia anaweza na ukishaitwa msanii pia ni pamoja na uandishi japokua wachache wanafeli.
Lakini uandishi pekee hautoshi kumfanya akubalike
Kama ni mwandishi mzuri mbona hatumuoni kwenye Billboard? huo uandishi anafanya kwa lengo gani sasa kama nyimbo zake zimefichwa na wasanii ambao hawajulikani kwa sifa ya uandishi?
hapana sina chuki. Ila navyoongea ukweli it sound like I'm holding a grudge against him. Sifa anazostahili anapewa ila asipapite kwao
mnafiki ni yule ambaye yuko tayari kumpa sifa asizostahili kwa kigezo kua usisubiri mpaka afe. Mimi hapa namu encourage asibweteke akajua ametusua kwa zile album zake mbili akahisi kua tayari amesha kata kiu ya mashabiki wake na anastahili pongezi.
Bara la africa halimuitaji mohombi ili kulitangaza, lingekua bara hili linamuhitaji mohombi basi lilikua lishasahaulika maana mtangazaji amesizi huu mwaka wa tano anacheza tu makida
Hata usingesema kua ni "maoni yako" tulishajua kua ni maoni yako na ndio maana hayako sawa yamejaa assumption za kijinga zisizopimika
Kwanza tambua huyo sio MSANII bali ni MWANAMUZIKI na MWANDISHI WA MUZIKI.

Wasanii hawajulikani kwa sifa ya Uandishi?! Hivi unamfahamu Daddy Yankee, Luis Fonsi, Willy William, J Balvin au umekariri propaganda za US na wanamuziki wa kufokafoka "Fvck Fvck Fvckin Nigga?"

Come On Mohombi ni Muafrika tena Congolese na juhudi zake hazikwepeki weka akiba ya maneno.

Assumptions za kijinga unazoona kwangu ni same navyoweza kuona kwako jitathmini.
 
Wasanii wa bongo bwana wanawashirikisha wasanii wa ajabu ajabu tu,mchukue chris breezy,dj khaleed,meek mill,movado mtu mbaya,drake,weezy,offset ...
Sasa wao sijui wanakwama wapi!
Yani pitbull, mohombi na jeon ni wasanii wa ajabu? Loh! Wivu sio mzuri
 
ugumu umlishajidhihirisha wenyewe when you talk about media za west na promotes jamaa wanalinda soko lao nakumbuka black cofee( South African artist) alikataliwa collabo na usher Raymond licha ya kuwa alifanya kazi na wengine kama Alicia keys ni ukweli usiopingika kwamba kupata collabo ya msanii wa majuu anayehit ni
.
100 Percent na Black Coffee alivyojielewa na kufanya kazi na Europeans amekuwa Multi zaidi ya mwanzo alivyokuwa na mategemeo kwa US Propagandist.
 
Hivi unaelwa ile nyimbo ya nyegezi ilipata views nyingi si kwasababu ilikua inamashairi mazuri yaliyopendwa bali ni kuangalia maudhui yaliyosababishwa kufungiwa?

Kama views ni njia moja ya kujulikana mbona haziendelei hizo views za M3.2 kwa siku mbili kwa kila ngoma yake mpya anayoitoa??

Hapo ni sawa na kipindi kile gwajima alivyokua ana battle na makonda watu walikua wanaenda kanisani wengi lakini sio kwa kengo la kusikiliza mahubiri bali ni kusikiliza nini atasema leo kutokana na mkasa wa makonda dhidi ya clouds. Bifu limeisha nyomi ya pale kanisani imetoweka sasa kama nyomi ilikua inamsaidia kukuza jina mbona saizi hawajai kama kipindi kike?
We jamaa una wivu sana, acha upige hatua.
 
Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...

Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
Nimecheka Kama fala na usiku huu.!
 
Tuangaze baadhi ya nyimbo walizofanya wasanii shirikishwa hapo juu. Tuanze na Mohombi.

Mohombi ametoa au kishirikiana katika nyimbo zifuatazo:- Na ni muimbaji na mwandishi wa kiafrika kufanya kazi na Juan Magàn, Daddy Yankee, RedOne (Muafrika Pia), Craig David, Pitbull, Nicky Minaj, Farruko, Shaggy, Arash, Wisin, Don Omar, Big Ali, Dj R'AN na wengine wengi.

"She Owns the Night" – Far East Movement.
"Like a G6" (RedOne Remix) – Far East Movement, Dev & The Cataracs
"Do It" – Lazee
"Hold Yuh" (Remix) – Gyptian & Nicki Minaj
"Sanford & Son" by Quincy Jones
"Hula Hoop" – Stella Mwangi
"Sexy" featuring Les Jumo
"Suavemente" – Pitbull & Nayer.
"Addicted" – DJ Assad, Craig David & Greg Parys.
"Love 2 Party" featuring Celia.
"Crazy 4 U" – Karl Wolf.
"Sun in California" featuring Pitbull.
Werrason – "I Found A Way"
"Movin'" featuring Birdman, KMC, Caskey
"Habibi (I Need Your Love)" with Shaggy, Faydee, Costi
"Hasta Que Salga El Sol" featuring Dj Chino Farruko.
"Baddest Girl in Town" featuring Pitbull, Wisin
"Te Quiero Mas" featuring, Shaggy, Don Omar, Faydee, Costi, Farruko.
"Picky" (Remix) featuring, Joey Montana, Akon.
"Balans" featuring Alexandra Stan.
"Habibi" featuring Natalia Gordienko.
"Le Temps Passe" featuring DJ Assad, Dalvin.
"Let Me Love You" featuring DJ Rebel, Shaggy.
"Turn Me On" featuring DJ Politique).
"Bottoms Up" featuring Alexandra Joner.
"Animals (Like an Animal)" featuring Lin C, Joey Montana.
"Kiss Kiss" featuring Ardian Pujubi, DJ R'AN, Big Ali.
"Rockonolo" (Remix) featuring Diamond Platnumz, Lumino, Franko.
"Se Fue" featuring Arash.
"Kwangu Njoo" featuring Vanessa Mdee
"Another Round" featuring Nicola Fasano & Alex Guesta, Pitbull.
"Baila" featuring Aines Christian
"Come Closer" featuring Roberto Zambia
"African Crew: La Magie" (featuring Akuma, Hanane, Jaylann).
"Coconut Lover" featuring Dogge Doggelito and Anthony Sky
"Mr. Loverman"
"Claro Que Si" (featuring Juan Magán, Yasiri, Hyenas)
"Claro Que Si" (JOSE AM & LI4M Remix), (Featuring. Yasiris X Juan Magan X Hyenas)
"Hello"
"Hello (Remix)", (Feat. Youssou N'Dour).
"Hello (Carnival Brain Remix)
 
Huo wivu wa kitoto hausaidii, madogo watazidi kusonga na haters watazidi kikandia. What fucking good about this shit ni kuwa moja ya vitu vinavyosabisha wazidi kutanua wigo wa kujulikana ni kupitia You Tube na number of views ni indicator solid kabisa na ni nyongeza kimapato pia, hao wasiojua kuwa internet publicity ndiyo fastest means ya kuongeza fan base acha waendelee kubaki kwenye zama za mawe.

Back
Top Bottom