Tetema remix Rayvanny Ft Pitbull,Mohombi,Jeon & Diamond Platnumz

Tetema remix Rayvanny Ft Pitbull,Mohombi,Jeon & Diamond Platnumz

Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...

Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
Hata angewashilikisha hao kwenye video umgetaka akae Rambo au Vandame[emoji23][emoji23] Ongera wasafi
 
Huo wivu wa kitoto hausaidii, madogo watazidi kusonga na haters watazidi kikandia. What fucking good about this shit ni kuwa moja ya vitu vinavyosabisha wazidi kutanua wigo wa kujulikana ni kupitia You Tube na number of views ni indicator solid kabisa na ni nyongeza kimapato pia, hao wasiojua kuwa internet publicity ndiyo fastest means ya kuongeza fan base acha waendelee kubaki kwenye zama za mawe.

Nimuonee wivu kwani mi msanii kwamba natamani kua kama yeye?? Wakumuonea wivu ni wasanii wenzake huko sio mimi, na hata wasanii wenzake hawawezi kuinvest muda wao kumuonea wivu msanii alopotea kwenye gemu (Mohombi) zaidi zaidi ni kumuombea na kum bust bust na vi collabo ili arudi kwenye gemu. Kama kuna msanii mwenye anateseka kwa wivu kipindi hiki basi ni diamond maana hilo gape alopigwa na davido si mchezi. Mwanzo alivyo copy instrumental ya davido sikukuona ukimkandia jamaa kua anawivu
 
Kwa mgongo wa chupa, mpake mohombi asije kupauka
Mohombi mwenyewe angepata bahati angesoma coment yako hii bila shaka angetabasamu.
Jamaa unafaa kuuguza! mgonjwa siku tatu kalala hajaamka anapumulia mashine kashindwa kunywa hata uji lakini bado unapata ujasiri wa kuuza godoro uendelee kumuuguza kwa kutumaini kua atapona
Mohombi Alishawahi kuingiza mguu billboard mara moja tu tena ilikua 13/5/2015 huku akishika namba 66 tena ngoma alikua ameshirikishwa inaitwa i need your love. Aliingia billboard kwa kutembelea nyota ya mwenzake kwaiyo hata hizo viewes za siku mbili zilizopatikana kwenye hiyo remix sio kwa ushawishi wake anavyokubalika bali katembelea nyota za wengine
Dingii Pitbull ana'hit song mwaka jana na case sio hitsong,case ni ngoma ni kali??..Kama ndio wakii'push inafika chaliangu..Davido alimshirikisha Meek Mill kwenye fans me lakini lisong halikufika popote coz Meek Hakui'push na alikua na Hitsong shazi kipindi icho.
 
Wewe uliyetaka kuputosha Fanya tafiti, uliandika bila vithibiti? Hujiamini?! Eeh

Angalia usijekuwa wa Kinondoni
Weka hapa tuione unakwepa nini

We tafiti zako unataka ziaminiwe bila evidence?

Wakinondoni wanamahaba sana na mohombi sijui ni nani yao?
 
Kwanza tambua huyo sio MSANII bali ni MWANAMUZIKI na MWANDISHI WA MUZIKI.
Msanii hawezi kua mwanamziki?

Wasanii hawajulikani kwa sifa ya Uandishi?! Hivi unamfahamu Daddy Yankee, Luis Fonsi, Willy William, J Balvin au umekariri propaganda za US na wanamuziki wa kufokafoka "Fvck Fvck Fvckin Nigga?"
Skiza wewe huwezi kufananisha hizo samadi na mziki wa hip hop halafu usifikiri kila uonapo neno fvck basi limesimama kama tusi. Fvck nigga linaweza kua tusi kwa mumble rappers au bana pua wanaoimba paka mate ni teleze au nyegezi na uzushi uzushi mwingi. Wakiacha hawa bana pua kuimba hivyo wanaarakati wataacha kufoka

Come On Mohombi ni Muafrika tena Congolese na juhudi zake hazikwepeki weka akiba ya maneno.
hii ya kusema mohombi mwafrika mbona umeikazania sana? Yani tusikosoe anapopewa sifa ambazo hastahili eti kwasababu ni mwafrica? Kwaiyo akiwa ni congolese hakosolewi?

Davido naye ni muafrika mbona nimempa bigup kwa kutoa ngoma na msanii wa ndoto za wasanii wengine anastahili pongezi kufanya collabo na breezy ambaye ana ngoma za latest na zote zipo kwenye hit 100 ya billboard. Sasa unataka nimsifie mohombi kwa kazi yake ya usanii au race yake?



Assumptions za kijinga unazoona kwangu ni same navyoweza kuona kwako jitathmini.
ungelijua hili mwanzo usingeandika ule ujinga wako.
 
Dingii Pitbull ana'hit song mwaka jana na case sio hitsong,case ni ngoma ni kali??..Kama ndio wakii'push inafika chaliangu..Davido alimshirikisha Meek Mill kwenye fans me lakini lisong halikufika popote coz Meek Hakui'push na alikua na Hitsong shazi kipindi icho.

Sija base sana kwa pitbull, nimemzungumzia huyu mohombi anayepaishwa humu na fans wa diamond
 
Tatizo mtu akiongea ukweli kuhusu mtu ambaye unamkubali utahisi kama vile wivu
Mimi nataka kubishana na wewe, kwa hiyo unataka kusema Mohombi, Pitbull na Joe sio wasanii wakubwa au hawana stunts?
.
Huyo Drake sijui Chris breezy unajua gharama za kuwapata?
Offset baby ya Card B sasa hivi ana trend kuliko Mungu unajua gharama za kumpata?
.
WizKid alifanya nyimbo na Drake mwisho wa siku ulimuona kwenye kideo?
Yani unaandika vitu kishamba kabisa, mtu kama Casper Nyovest kumpata ufanye nae kolabo ni sawa na kuingia kwenye kasri la malkia Elizabeth yani ni ngumu sana sasa huyo Drake, Chris brown, offset sijui Migos unadhani wanapatwa kimbungira mbungira?
.
Davido ana pesa, anatoka familia yenye pesa (royal family) ukoo wao unapesa unadhani anashindwa kutoa Dollar laki 5 ili afanye colabo na msanii pendwa Africa breezy?
.
Grow up
 
Wewe si umesema ameshirikisha wasanii wasio na uwezo either kwa sasa. Mbona unajikanyaga?

Pitbull anahit songs
Jeon anahit songs
Mohombi anahit songs
Hit songs hizo walifanyia wapi na mwaka gani mbona kwenye billboard siwaoni?

Basi 20percent naye tutasema ana hit song na yuko kwenye chati mpaka muda huu kwasababu alipata tuzo tano miaka 9 iliyopita
 
Wasanii wa bongo bwana wanawashirikisha wasanii wa ajabu ajabu tu,mchukue chris breezy,dj khaleed,meek mill,movado mtu mbaya,drake,weezy,offset ...
Sasa wao sijui wanakwama wapi!
Unadhani kuwashirikisha hao wapopo ni Kama kumshirikisha Manfongo

Ingekua ni hvyo kwa diamond anavyo penda Maendeleo ya music wake angekua amesha washirikisha hao wote ulio wataja
 
Hit songs hizo walifanyia wapi na mwaka gani mbona kwenye billboard siwaoni?
Basi 20percent naye tutasema ana hit song na yuko kwenye chati mpaka muda huu kwasababu alipata tuzo tano miaka 9 iliyopita
Najua kinacho tatiza unafuatalia US Music pekee.

Lakini ungelifuatilia Muziki kiujumla lazima ungefahamu Jeon, Mohombi au Pitbull ni nani.
 
Publicity ni publicity tu, regardless umemtumia porn star au nani. Inakuongezea mileage kwenye muziki wako. Views ni moja ya indicators ya kujulikana, kukubalika au kupendwa kwako au muziki wako, views hukuongezea kipato na hata kukuongezea nafasi zaidi za endorsements na advertisements kwani makampuni at this era vigezo vya kujulikana au kukubalia kwa artist hufuatilia pia on what trends more on social networks and so number of views counts.
Words
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mimi nataka kubishana na wewe, kwa hiyo unataka kusema Mohombi, Pitbull na Joe sio wasanii wakubwa au hawana stunts?

msanii mkubwa anapimwa kwa hit song ambazo zipo top ten ya billboard sasa kati ya hao nani amekidhi hicho kigezo walau hata kua kwenye top 100
.
Huyo Drake sijui Chris breezy unajua gharama za kuwapata?
Offset baby ya Card B sasa hivi ana trend kuliko Mungu unajua gharama za kumpata?
Hapo ndipo umefika kwenye kiunzi cha mjadala.

Ni kweli gharama za kuwashirikisha hawa ni ghali sana ambazo wasanii wetu wa hapa ndani ni ngumu ku afford kwasababu ni wasanii walioko kwenye chati tofauti na mohombi na hao wengine wenye thamani ndogo kwasababu hawako kwenye chat walishapotea kwenye gemu


.
WizKid alifanya nyimbo na Drake mwisho wa siku ulimuona kwenye kideo?
wizkid tulimuona kwenye hot 100 ya billboard na akiperform jukwaa moja na drake pamoja na migos kitu ambacho hakiwezekaniki kwa wasanii wetu wa ndani na kwa pigo la davido la msimu huu kuna watu wanapata nightmares

Yani unaandika vitu kishamba kabisa, mtu kama Casper Nyovest kumpata ufanye nae kolabo ni sawa na kuingia kwenye kasri la malkia Elizabeth yani ni ngumu sana sasa huyo Drake, Chris brown, offset sijui Migos unadhani wanapatwa kimbungira mbungira?

Kwanza ukishakua msanii ambaye unanadiwa kua ni international artist lazima uipe heshima kazi yako kwa kufanya ngoma na wasanii walioko kwenye chat sio waliopotea. Sasa huyu m'manyema tunaona anajishushia heshima kwenye mziki wake kwa C&P kuanzia maudhui ya video hadi instrumental.

Yaani anaowaiga anataka kuwazidi kwenye ujuzi? what a joke but i ain't laughin.
.
Davido ana pesa, anatoka familia yenye pesa (royal family) ukoo wao unapesa unadhani anashindwa kutoa Dollar laki 5 ili afanye colabo na msanii pendwa Africa breezy?
.
Grow up
Ndio ujue kua kizuri kina gharama na zile sio level zake na ndio maana anawaita wasanii waliopotea kwenye gem kwasababu anawamudu hata kuwalipa

Unafikiri best naso hapendi kufanya collabo na diamond au alikiba mpaka anaamua kumshirikisha 20%? Anamshirikisha msanii wa level zake ambaye naye lengo lake ni kutoka maana bado hajatoka.

Kama yeye hawezi ku afford hiyo gharama basi aendelee kuchukua mitumba anayoweza kuimudu iliyopotea ambayo nayo inatamani kurudi kwenye gemu kupitia collabo aliyowashirikisha
 
Najua kinacho tatiza unafuatalia US Music pekee.

Lakini ungelifuatilia Muziki kiujumla lazima ungefahamu Jeon, Mohombi au Pitbull ni nani.
Hapana.

Miziki kila kona ya dunia ikiwa hit lazima iwekwe kwenye hot ya billboard.

Hata huu wa remix ya diamond ungekua uko hit ki international basi tungeuona
 
Nimuonee wivu kwani mi msanii kwamba natamani kua kama yeye?? Wakumuonea wivu ni wasanii wenzake huko sio mimi, na hata wasanii wenzake hawawezi kuinvest muda wao kumuonea wivu msanii alopotea kwenye gemu (Mohombi) zaidi zaidi ni kumuombea na kum bust bust na vi collabo ili arudi kwenye gemu. Kama kuna msanii mwenye anateseka kwa wivu kipindi hiki basi ni diamond maana hilo gape alopigwa na davido si mchezi. Mwanzo alivyo copy instrumental ya davido sikukuona ukimkandia jamaa kua anawivu
Kumbe we ni hater

Nimejilaumu kwanini nimejisumbua kusoma comments zako tangu mwanzo
 
Back
Top Bottom