Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 366
Mkuu mchezo huo si mzuri. BMW ni gari nzuri lkn barabara zetu na madereva wenzako pia wanahusika kwenye safari yako, kumbuka barabara ina watumiaji wengine pia. Moro sio mbali... ila zingatia hayo!

Ngoja niwa alert ma traffic waandae mitochi yao kuanzia mikese, ubena,chalinze,mlandizi,kibaha.....watakudaka tu na hii itakuwa ni kwa usalama wako,hivi namba ya usajili gari lako ni ngapi vile?

Pole na hongera mkuu. Hayo ndiyo matatizo ya uendeshaji Bongo. Huku nilipo mimi kuna nyakati huendesha mpaka 220 nina BMW 5 series, ni gari ninayoiamini kwa masafa marefu. Ila ushujaa huo Bongo sina, kigezo kikubwa na ufinyu wa barabara vs wingi wa magari.