Test kwangu jamani

Sembeta jr

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
805
366
wana cc kuna group wamebet kwamba hakuna gari inaweza kutoka dar to moro kwa saa moja na nusu traffic included na kutoa moro to dom kwa masaa matatu traffic included.
So mi nimewambia naweza naweza kwenda dar to moro chini ya lisaa limoja na nusu na moro dom chini ya hayo masaa matatu, kwa hyo ndo nipo hapa najiandaa kutoka kituo cha kuanzia ni hapa njia panda ya chuo kikuu na ntakua namtu pembeni kwa ajili ya kupost updates.
So kama kuna mwana cc angependa kujumuika na mimi ktk kuweka record anakaribishwa na wale wazee wa kubet kama kawa safari itaanza dk 15 zijazo.
Ee mungu nisaidie
 
Mkuu mchezo huo si mzuri. BMW ni gari nzuri lkn barabara zetu na madereva wenzako pia wanahusika kwenye safari yako, kumbuka barabara ina watumiaji wengine pia. Moro sio mbali... ila zingatia hayo!
 
Mkuu mchezo huo si mzuri. BMW ni gari nzuri lkn barabara zetu na madereva wenzako pia wanahusika kwenye safari yako, kumbuka barabara ina watumiaji wengine pia. Moro sio mbali... ila zingatia hayo!

asante kwa ushauri mkuu ntazingatia bt ondoa shaka mi ni professional driver one of the best in east africa
 
safari imeshaanza jamani Transporter yupo ktk stering mi ndo ntakua nawapa updates na picha kimtindo, tunaitafuta kimara kwa sasa strabag wanazingua
 
Ngoja niwa alert ma traffic waandae mitochi yao kuanzia mikese, ubena,chalinze,mlandizi,kibaha.....watakudaka tu na hii itakuwa ni kwa usalama wako,hivi namba ya usajili gari lako ni ngapi vile?
 
Ngoja niwa alert ma traffic waandae mitochi yao kuanzia mikese, ubena,chalinze,mlandizi,kibaha.....watakudaka tu na hii itakuwa ni kwa usalama wako,hivi namba ya usajili gari lako ni ngapi vile?

mkuu acha noma jamaa anataka kuweka record
 
Ngoja niwa alert ma traffic waandae mitochi yao kuanzia mikese, ubena,chalinze,mlandizi,kibaha.....watakudaka tu na hii itakuwa ni kwa usalama wako,hivi namba ya usajili gari lako ni ngapi vile?

bishanga transpota anakwambia anavijua vijiwe vyao vyote so akifka ni 60 akipita ni 180
 
jaman msimaindi mwandiko mana huu mwendo mxenyewe hapa presha juu mana hizi ovatek za jamaa mh! Tunaitafuta mail moja gapa yan jamaa akipata upenyo ni speed 140 afu anasema bado hajafika mwisio
 
picha ya ndege shaaa
kwa matias shaaa
mlandizi shaaaa
ruvu shaaa
tunaitafta chalinze sasa
nimepiga snap kama mbil hvi ya dashbodi ktk speedmeter ngoma ilikua 180 najitahd kuzhweka hapa
 
tunapata upinzan sana ktk ovatek mana mabasi yote ndo yanakuja mjini kika dakika 2 basi hili hapa
 
jamani nimefika moro msamvu 15:42 hata hivyo tulipata pancha tairi ya nyuma msolwa tulitumia kama dk 8 hivi kubadili kwa mana hyo dk42-8 ni kama tulittmia saa moja na dk 34 hapo ni pamoja na usumbufu wa jam kuanzia njia panda chuo kikuu mpaka msamvu moro.
Hatuwezi kwenda dom mpaka kesho mana break zinafeli na na mguu wa nyuma unagonga mbaya.
Kuna picha jamaa alichukua kisahani kikisoma 180km/h nashindwa jinsi ya kuweka.
 
Pole na hongera mkuu. Hayo ndiyo matatizo ya uendeshaji Bongo. Huku nilipo mimi kuna nyakati huendesha mpaka 220 nina BMW 5 series, ni gari ninayoiamini kwa masafa marefu. Ila ushujaa huo Bongo sina, kigezo kikubwa na ufinyu wa barabara vs wingi wa magari.
 
asante mkuu bmw ni gari safi sana kesho nataka kumaliza ubishi na njia ya dodoma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom