Test Drive

Volkswagen Golf gti,hongera kwa kununua kibaby walker. Halafu kuna mahali ulimponda mtu kwa kuendesha mark x ukasema ni ten year old car nkajua una velar ya 2017,hii yenyewe tu pia ni ten years old
watu mnakumbukumbu kama shetanii
 
Yaani ukitaka kujua roho za watu JF post kitu kama hiki. Jamani hio picha nimeitoa mtandaoni tu nimevutiwa na hio 300kph, mimi hata baiskeli sina.
 
Ili uone inakuwaje katika hiyo speed ya 300 K/H subiri ukifika eneo linaitwa Mwidu ukitoka Chalinze kulekea Mororgoro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…