Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Michango ya harusi ni ujinga
Michango ya msiba na ugonjwa ndio muhimu zaidi
Ya Elimu vipi?
Michango ya harusi ni ujinga
Michango ya msiba na ugonjwa ndio muhimu zaidi
Watanzania jamani, ni wapi tulikosea? Where are our priorities? Kama kuna utamaduni nahisi umepitwa na wakati ni hii michango ya harusi. Naona how simple harusi za watu wa magharibi zilivyo. Attendance watu 20 mpaka 40ndugu and close friends tosha. chakula just snacks and drinks. Why do we complicate life? If you can afford it, well and good do it but if you can't, please live within your means.Halo JF.
Nipo hapa Nyumbani nasikiliza Terminal ya clouds FM radio ya jiji la karaha na raha la Dar.
Wanaonekana kupinga michango ya harusi wakidai sio lazima. Wote Haris Kapiga na Lilian Mwasha na mgeni mwalika wanasema eti nichango ya harusi sio lazima na inabidi ihusishe ndugu tu kama wafanyavyo wenzetu Rwanda na Kenya na pia Uganda.
Sasa najiuliza hivi Harris na Lilian siku wakioa au kuolewa hawakuchangiwa. Wameenda mbali kwa kusema Tanzania ni nchi ya kishamba mtu kusumbua michango hata kwa watu wasio nduguze.
Hiki ni kipindi cha hovyo kabisa clouds FM kwani kila nchi na utamaduni wake. Ikumbukwe pia ujamaa wa MWL Nyerere ulihimiza undugu na kushirikiana na pia kusaidiana kwa hali na Mali.
NB: Mods naomba mada isome wanapiga kampeni dhidi ya michango ya harusi.