Tennis: US Open 2019

Niliangalia jana mechi ya Serena yote. Huwa nakuwa nervous utadhani mie niko uwanjani. I just want her to win the next two grand slams in order to beat the record of 24 grand slam.

Last year kama utakumbuka alifungwa kwenye fainal na Osaka. Australia open January mwaka huu alikuwa anaongoza set ya pili kwenye nusu fainali na yule Pliskova 5-2 akapoteza na set ya tatu akacheza vibaya sana.

Wimbledon mwaka huu June Halep akamnyanyasa kwenye final.

Jana kacheza vizuri sana ila huwa anampania sana Sharapova kuliko mchezaji mwingine yeyote but if she can maintain that kind of performance I am 99% sure she’ll win her 24 grand slam.

She is already a GOAT 🐐 but I’d prefer to see her wins 24 & 25 before she retires.

Heloo wadau wa tennis, mambo vipi? mpo? US open imeanza, jana nimeshahudia kichapo cha kufa mtu kutoka kwa mwanadada ambaye anasemwa kuwa ni bora wa wakati wote, yani GOAT, si mwingine ni Serena Williams. Karibuni jukwaani cc BAK Victoire na wapenzi wote wa tennis.
 
Niliangalia jana mechi Serena yote. Huwa nakuwa nervous utadhani mie niko uwanjani. I just want her to win the next two grand slams in order to beat the record of 24 grand slam.

Last year kama utakumbuka alifungwa kwenye fainal na Osaka. Australia open January mwaka huu alikuwa anaongoza set ya pili kwenye nusu fainali na yule Pliskova 5-2 akapoteza na set ya tatu akacheza vibaya sana.

Wimbledon mwaka huu June Halep akamnyanyasa kwenye final.

Jana kacheza vizuri sana ila huwa anampania sana Sharapova kuliko mchezaji mwingine yeyote but if she can maintain that kind of performance I am 99% sure she’ll win her 24 grand slam.

She is already a GOAT but I’d prefer to see her wins 24 & 25 before she retires.

Mkuu BAK upo kama mimi, huwa naumia sana akishindwa, na nikiona dalili za kufungwa huwa naacha kuangalia kabisa naendelaea na shughuli zingine. Jana nilikua na woga sana siku nzima sikutaka afungwe na Maria
Australia open na Wimbledon ziliniuma sana hadi najishangaa . Akicheza kwa level aliyocheza jana i can bet she will take no 24
 
😂😂😂😂😂😂😂kumbe siko peke yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mie jana nilijua atashinda tu ila nilikuwa na wasiwasi kuhusu bega lake kwani mashindano yake ya mwisho kule Toronto alishindwa kuendelea kutokana na maumivu ya bega. Hopefully she’s 100% healthy to win another US Open.

Mkuu BAK upo kama mimi, huwa naumia sana akishindwa, na nikiona dalili za kufungwa huwa naacha kuangalia kabisa naendelaea na shughuli zingine. Jana nilikua na woga sana siku nzima sikutaka afungwe na Maria
Australia open na Wimbledon ziliniuma sana hadi najishangaa . Akicheza kwa level aliyocheza jana i can bet she will take no 24
 
kumbe siko peke yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mie jana nilijua atashinda tu ila nilikuwa na wasiwasi kuhusu bega lake kwani mashindano yake ya mwisho kule Toronto alishindwa kuendelea kutokana na maumivu ya bega. Hopefully she’s 100% healthy to win another US Open.

Yani acha kabisa . Mi nina uoga kwamba one of these days Maria atamfunga Serena and all hell will break loose 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa Maria wanasubiria hiyo siku kama the second coming of Masiah . Hiyo siku inanitisha sana.
Halafu wote waliowahi kumfunga Serena (except Venus) nina beef nao kisirisiri, nafurahia wanapofungwa na yoyote yule.
 
😂😂😂😂😂😂 tunamuita sharapovu siku hizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hilo la kumfunga Serena asahau kabisa.

Eti una bifu na waliomfunga Serena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uko kama mimi weyeeee halafu wakifungwa huwa nafurahia kweli lol! 😂😂😂

Yani acha kabisa . Mi nina uoga kwamba one of these days Maria atamfunga Serena and all hell will break loose 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa Maria wanasubiria hiyo siku kama the second coming of Masiah . Hiyo siku inanitisha sana.
Halafu wote waliowahi kumfunga Serena (except Venus) nina beef nao kisirisiri, nafurahia wanapofungwa na yoyote yule.
 
Niliangalia jana mechi Serena yote. Huwa nakuwa nervous utadhani mie niko uwanjani. I just want her to win the next two grand slams in order to beat the record of 24 grand slam.

Last year kama utakumbuka alifungwa kwenye fainal na Osaka. Australia open January mwaka huu alikuwa anaongoza set ya pili kwenye nusu fainali na yule Pliskova 5-2 akapoteza na set ya tatu akacheza vibaya sana.

Wimbledon mwaka huu June Halep akamnyanyasa kwenye final.

Jana kacheza vizuri sana ila huwa anampania sana Sharapova kuliko mchezaji mwingine yeyote but if she can maintain that kind of performance I am 99% sure she’ll win her 24 grand slam.

She is already a GOAT 🐐 but I’d prefer to see her wins 24 & 25 before she retires.
Simona Halep kusema ukweli alicheza tenis nzuri sana. Alimpelekesha Serena mpaka basi. Simona alikuwa anadefend upana wa uwanja mpaka upana wa uwanja. Alikuwa kila mahali.
 
Wow,Serena alininyooshea Maria Sharapova. Ila Maria huwa anascream jamani. Utafikiri anapata orga....m.

Yani uliona eeh?! Hadi nilimhurumia na si kawaida yangu Nilifurahi sana. Maria saa ingine inabidi kuweka “mute” majirani wasije wakakushangaa
 
Simona Halep kusema ukweli alicheza tenis nzuri sana. Alimpelekesha Serena mpaka basi. Simona alikuwa anadefend upana wa uwanja mpaka upana wa uwanja. Alikuwa kila mahali.

Hiyo mechi niliacha kuangalia mwanzo tu, nikaona bora niende shamba nikalime kidogo, Yeah Halep is very good! Yani ameimprove sana anakimbiza kona hadi kona.Kana mbio balaa.
 
Back
Top Bottom