Mi nadhani Nadal kapoteza mechi kwa kupoteza focus ya mind games za novak akidhani kuwa jamaa kishachoka sana. Hii michezo ndio inayesha kuna mataifa makubwa kiuchumi, kijeshi, etc lakini kwenye michezo vipaji vipo kwenye mataifa ya kwaida.
Jana kwa Wadada mrusi naye kapelekeshwa na mberarus.
Nilikuwa namuona my wife wake djokovic to be anashangili kwa kasi zaidi hata ya kocha.
Novak Djokovic outlasted Rafael Nadal 5-7 6-4 6-2 6-7 7-5 to claim his third Australian Open after the longest final in Grand Slam history at a sweltering Melbourne Park. http://uk.eurosport.yahoo.com/te/profile/3153.html
With temperatures reaching well over 30 degrees at the outset of the match on Rod Laver Arena, it was Serbia's Djokovic who kept his cool in the key moments as he was broken first by Nadal in the final set only to break his opponent twice in an astonishing contest that ran for five hours and 53 minutes............. soma habari kamili