Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Kante,xavi,de bruyneTufanye wewe ndio kocha, hebu tengeneza kiungo chako cha watu watatu kutokea katika kundi hili la viungo pichani.
Mimi kwenye watu watatu, wa kwanza kabisa ni Sergio Busquets iwe jua au mvua anazima hapo kwenye DM.
Viungo wawili wa juu, nitaenda na KDB na Iniesta.
Lete kiungo chako tuone…View attachment 3333737
Mesut, Kante na KDB
Kuna shida nikiwatumia wote?wabongo tunatatizo kwenye uelewa wa mpira, hao wawili uliowaeka wote ni No 10 kwa maana wanacheza position moja
Hapo ngoma ngumu.
DM BUSQUETS VS NGOLO
CM modric, kroos, pogba na xavi
AT. Iniesta, KDB na ozil
Aisee hapa ngumu kumeza, mtu utachagua kwa sababu ya kimbinu zaidi.
Nikitumia double pivot basi ni ngolo,pogba na kdb
Iliwa DM mmoja basi ni BUSQUETS, xavi na ozil.
Kuna shida nikiwatumia wote?