haya mambo ya kizamani ila DROGBA anastahili kuvaaa! acheni hizo ikulu yenyewe ya JK!
Usisahau jeans nzuri kwa kuvaa kata K bana na wachezaji wetu wamezoea kuvaa kata k, suti hawaziwezi wanakuwa kama wako kifungoni teh teh
kwani ikulu ni mbinguni, watu wanavaa mpaka bikini....!!acha ushamba
Afadhali wachezaji wa Tanganyika (Kilimanjaro Stars) kuingia Ikulu huku wamevaa jeans kuliko kufanyia mkutano wa mafisadi Ikulu..
Hapo kwenye red tu.
Lengo lilikuwa ni kutangaza Tusker bila ikulu kushtukia. Wangevaa suti hizo T-shirt zisingeonekana. Sitashangaa kumuona JK kwenye tangazo la kilevi hicho.
Kwa kuwa ni wachezaji nawashauri next time waende na zile za uwanjani kabisa.