Tenga hii ni aibu ( vijana kuvaa majinzi ikulu,suti za michezo hakuna0

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
GO9G9917.JPG
 
haya mambo ya kizamani ila DROGBA anastahili kuvaaa! acheni hizo ikulu yenyewe ya JK!
 
haya mambo ya kizamani ila DROGBA anastahili kuvaaa! acheni hizo ikulu yenyewe ya JK!

afadhali umesema,wenzetu kutoka nje wanaomba appointment na jk na wanaingia na jeans na tshirt ila watanzania wakivaa kosa
 
Hao jamaa walioko mstari wa kwanza nao ni wachezaji wapya nini?
Nilitegemea mstari wa kwanza wawe wachezaji na kocha sio viongozi..
 
sasa tazma jeans la kaseja ..sijui la kuendea kucheza msondo ???? wapige suti bana
 
Lengo lilikuwa ni kutangaza Tusker bila ikulu kushtukia. Wangevaa suti hizo T-shirt zisingeonekana. Sitashangaa kumuona JK kwenye tangazo la kilevi hicho.
Kwa kuwa ni wachezaji nawashauri next time waende na zile za uwanjani kabisa.
 
Acheni kukuza mambo, sio lazima kwenda ikulu umevaa suti, wangeweza kuvaa hata mashati ya batiki. Cha msingi hapa ni kuwa unapoenda/mnapoenda timu ya michezo Ikulu, ni lazima muwe katika mavazi ya sare. Haijalishi kama ni Jeans au suti.
 
Afadhali wachezaji wa Tanganyika (Kilimanjaro Stars) kuingia Ikulu huku wamevaa jeans kuliko kufanyia mkutano wa mafisadi Ikulu..
 
Lengo lilikuwa ni kutangaza Tusker bila ikulu kushtukia. Wangevaa suti hizo T-shirt zisingeonekana. Sitashangaa kumuona JK kwenye tangazo la kilevi hicho.
Kwa kuwa ni wachezaji nawashauri next time waende na zile za uwanjani kabisa.

umeongea ukweli, wangevaa suti hiyo bia wangetangazaje? tracksuit ni gharama zaidi kwa watu wa tusker, hiyo ni planned mzee
 
Back
Top Bottom