Tendwa Atoa Tamko Dhidi ya CHADEMA na CCM

Tendwa Atoa Tamko Dhidi ya CHADEMA na CCM

Tendwa anafanya kazi kama gobore tu "old technology" itafikia hatua ofisini atapelekwa kwa wheel chair.
 
huyu mzee hata akiongea point huwa simuamini coz ni zao la ccm na hawezi hata sikumoja kwenda against na matakwa yao hivyo anatuzuga tu na taarifa yake.
 
Siku moja embu fanya kweli kifute chadema msajili tubaki na Amani yetu alaaa
 
Mimi nadhani akae pembeni kupisha sheria ichukue mkondo wake, asitake kuleta janja ya serekali na bunge eti kila kitu kipo mahkamani,
maana hawachelewi kusema hakuna haja ya kesi issue ipo kwa msajili wa vyama.
 
Tendwa ana vituko kama huyu

donut.jpg
 
Hivi alishawaomba msamaha wale wazee wa kimila(washiri)kule Arumeru kwa kuwasemea maneno ya uchochezi dhidi ya Lema?Poor Tendwa
 
Afanye anachoweza kufanya kibalaka wa majambazi, au ajaribu hata kutishia tu kuifuta chadema. kama hajaundiwa usalama wa taifa wa kujitegemea. kwakuwa meno hana watang'oa fizi kwa spana.
 
Mkuu hii ni siku ya ngapi tangu vurugu hizo zitokee, kwa nini imemchukua muda mrefu kukemea mambo ambayo yanalitia Taifa letu aibu kubwa kimataifa - yeye kama mdhamini wa vyama kwa nini hakuwaita siku ya tukio na kuwapa karipio kali. Mpaka sasa hivi nimelitunza gazeti la mwananchi linalo onyesha vizuri watu wazima/wamakamo wamebeba matofali ya kujengea nyumba na wawe wakipania kumuua mtanzania mwenzao - kisa kasimika bendera sijui wapi, mambo ya kitoto kabisa na hatarishi!!

Swala hili wangeweza kuelewana tu, au kutumia vyombo vya DORA kwa kuwakalisha chini wakaelewana - haya mambo ya kujichukulia sheria mkononi tunawafundisha nini raia baki - ukija na matra ya kusema Taifa letu ni la amani na utulivu nani atakuelewa??
 
Back
Top Bottom