Tendwa: Aishukia CCJ/Mpendazoe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa: Aishukia CCJ/Mpendazoe

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtu Mmoja, Apr 1, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  msajili wa vyama vya siasa nchini bw. john tendwa amesema aliyekuwa mbunge wa kishapu kwa tiketi ya ccm bw. fred mpendazoe amekurupuka katika uamuzi wake wa kukihama chama chake cha zamani na kujiunga na chama ambacho hadi sasa si halali kisheria na hakitambuliwi na ofisi yake wala hakimo katika orodha ya vyama vya siasa Tanzania inayopatikana ofisini kwake. akihojiwa na waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kupata msimamo wake kufuatia hatua ya mbunge huyo machahari kujiengua kutoka ccm, tendwa alisema kwa kifupi " ametumia uhuru wake kikatiba vibaya"

  msajili huyo alifafanua kuwa sheria ya vyama vya siasa nchini hairuhusu chama kutangaza kushiriki uchaguzi mkuu hadi kitakapokuwa kimepata usajili wa kudumu. kutokana na kuwepo ushahidi wa kutosha kuwa CCJ kimepanga kushiriki uchaguzi ujao, alisema ofisi yake inatafakari hatua za kuchukua dhidi ya chama hicho kilichojizolea umaarufu kwa muda mfupi ikiwemo kukifuta katika daftari lake. aidha aliongeza kuwa anaweza kutumia mamlaka aliyonayo kisheria kumpiga marufuku ndg. mpendazoe kugombea nafasi yoyote ya kisiasa katika uchaguzi ujao kutokana na kutangaza hadharani kuwa atagombea kupitia chama ambacho halijasajiliwa. akisistiza hoja yake hiyo aliahidi leo kukutana na waandishi wa habari ofisini kwake kutolea ufafanuzi zaidi juu ya msimamamo wa kisheria katika suala kam hilo;

  my take:
  embu wajuvi wa sheria ya vyama vya siasa nchini mtufafanulie msingi wa madai haya ya bw, Tendwa.
   
 2. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Lete source please.
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  ha ha ha kazi hipo.hiki chama kweli kitasajiliwa ? manake inaonekana kinawakosesha wengi sana usingizi.

  sasa john tendwa wewe shida yako hiko wapi kama kafanya uwamuzi kwa kukurupuka?
   
 4. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,714
  Likes Received: 3,121
  Trophy Points: 280
  Tendwa wewe shida yako nini unataka kusajili chama kwa kuangalia nani ni wanachama au ni ni aje? Kama Mpendazoe amekurupuka wewe shida yako nini. Sajili chama kieleweke msituwekee giza kakurupuka kakurupuka shida iko wapi..
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,524
  Trophy Points: 280
  Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ni kitengo kingine cha CCM. Huyu jamaa anatumiwa na CCM ili kuhakikisha chama hiki hakisajiliwi na hivyo kutoruhusiwa kushiriki katika uchaguzi ujao. Kama kuna masharti ya kusajili chama cha siasa ambayo CCJ hawayajatimiza basi yaweke hadharani ili Watanzania tuyajue na siyo kuzungumza nusu nusu bila kutoa sababu kwa nini chama hiki hakijasajiliwa.
   
 6. N

  Ngala Senior Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alichotaka Tendwa ni kwa mpendanzoe aombe ruhusa kwake kuwa anakihama chama chao then ampangie aende chama chenye maslahi kwao.Na huyu Tendwa tangu aingizwe kwenye ofisi ile amewashawahi kusajili chama kipi au kakuta kazi hiyo ilishakamilisha kusajili??TENDWA ACHA KUFISADI TAALUMA YA SHERIA UTAHARIBU. SI makamba wala chili atakayeombwa ruksa watu wamechoka kusujudia mafisadi
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Jamani wakati mwingine muwe mnasoma mnavyoandika; internal contradictions zina assume wote humu hamnazo!

  kwamba chama ambacho hadi sasa si halali kisheria na hakitambuliwi na ofisi yake wala hakimo katika orodha ya vyama vya siasa Tanzania inayopatikana ofisini kwake

  Halafu:

  kwamba: inatafakari hatua za kuchukua dhidi ya chama hicho kilichojizolea umaarufu kwa muda mfupi ikiwemo kukifuta katika daftari lake

  Mtu mwenye akili atauliza: Unaweza vipi kufuta chama kutoka kwenye daftari ambalo umesema hakimo?

  Hana mamlaka hayo; ajaribu!

  Hana uwezo huo!

  Ni ya kipuuzi haya msingi katika mantiki na yanathibitha kuwa April Fools bado ipo hai!
   
 8. Mlenge

  Mlenge Verified User

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2006
  Messages: 433
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
   
 9. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tendwa usipoteze muda wako mheshimiwa kuumiza kichwa na chama cha kufikirika, mi nakushauri isamehe kilipokosea na ukisajili haraka ili lifie kwenye uchaguzi iwe rahisi kukizika. ukikichelewesha kitasumbua wakati wa mazishi.

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 10. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0


  Mwanakijiji bwana! Hata wewe wamekuokota kirahisi hivi na April fools' day? Et tu, Mwanakijiji?
   
 11. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  poleni sana wanaJF mlioingia mkenge. siku nyingine kabla ya kuposti chochote, fungueni kwanza kalenda muone ni tarehe ngapi
   
 12. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hivi Tendwa anaijua Job Description yake kweli? Can he utter such words?
  Nadhani anatakiwa awe independent of any political part katika kufanya maamuzi yake.
  Something is very wrong with him!
   
 13. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  shubidi you!
   
 14. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kazi kwer kwer!!! Mzee Tendwa bana...
  Haya yetu macho....
   
 15. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Leo sio siku nzuri kutembelea JF mpaka huu upuuzi wa hii siku ya wapuuzi iishe.....
   
 16. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Tanzania kila siku ni siku ya wajinga, Watanzania tunadangaywa vya kweli mpaka tumepewa jina wadanganyika, tunakaa kimya hatuchekwi mimi naona ingekuwa the other way round. Tushupae na kushituka tunavyodanganywa siku zingine leo tuwe relaxed tukubali kudanganywa kama alivyofanya mwanakijiji.
   
 17. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu nakupa tano

  kuna mahali nimetoa maoni kama haya haya kwenye thread inaitwa "nani alianzisha hii siku ya wajinga" ni ajabu na kweli tumefanana kwa kiasi fulani katika maoni.

  nashukuru
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...