Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,270
PICHA ZA NGONO ZIMEBADILI AKILI ZA WANADAMU KUONA TENDO HILO NI KWA AJILI YA STAREHE.Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: UKIFUATILIA MAISHA YA ADAMU KATIKA MAANDIKO NI KUWA KILA "ALIMPOJUA" MKE WAKE, MTOTO ALIZALIWA.
2: WAZEE WA KALE HAWAKULALA CHUMBA KIMOJA AU KITANDA KIMOJA. WALIKUWA WAKIKUTANA KWA AJILI YA KUTAFUTA MTOTO TU NA SIO VINGINEVYO.
SABABU YA MABADILIKO;
1: IDADI NDOGO WATOTO KATIKA FAMILIA.
- PICHA ZA NGONO ZIMEBADILI AKILI ZA WANADAMU KUONA TENDO HILO NI KWA AJILI YA STAREHE.
- UZAZI WA MPANGO KWA NJIA ZA KIGENI.
- SINEMA NA MOVIES ZA KIGENI.
- UTANDAWAZI KWA UJUMLA WAKE HASA KATIKA MWINGILIANO WA MILA NA DESTURI.
- MADHARA YAKE;
2: UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA KIKE.
3: MAGONJWA YA NGONO KWA UJUMLA WAKE.
4: NDOA KIVUNJIKA MAPEMA SABABU YA UZOEFU WA NGONO KWA WANANDOA.
MENGINE ONGEZA WEWE JF MEMBER including Madenge Kilewa pangalashaba
Wewe sio bikira na ulianza NGONO mapema hiyo hali kawaidaEeeh siangalii pcha za ngono, situmii uzazi wa mpango nk..... lakini kuna muda mwili unahitaji jambo na si kwaajili ya mtoto,,hii inaitwaje kitaalamu....
Umri ukiongezeka utaelewa sasa hivi masikio hayana vinyweleo vya kutoshaTendo la ndoa kwa ajiri ya utamuuu rahaaa
lakini nishawahi kua bikira,, kabla hata haijatolewa mwili ulihitaji ndoman ikatolewa na hii jeWewe sio bikira na ulianza NGONO mapema hiyo hali kawaida
Umeshafungulia bombalakini nishawahi kua bikira,, kabla hata haijatolewa mwili ulihitaji ndoman ikatolewa na hii je
Una changamoto kichwani mwako.Kunywa uji wa moto.Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Kwa wewe huwa "unamjua" mkeo siku tu ukiwa unataka mtoto otherwise mnalala vyumba tofauti? Umerudi kwenye mstari?Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Aaaaiiiiiii π π π π π,,hajui huyu na ndoto nyevu juuUna utani wewe hivi unajua hamu ya kipindi yai likikaribia kushuka na lile joto la period?? πΉπΉπΉ
jibu kitaalamu basi mkuu hata huyo bikira atafungulia na atakua kama mimi ,,, uongooooUmeshafungulia bomba
Negative Effects of Globalization on Sexual Acts in AfricaEti utelezi sio starehe. Haingii akilini kabisa, huu ndio uongo wa siku
Ngumu kuelewaAaaaiiiiiii π π π π π,,hajui huyu na ndoto nyevu juu
uongooooNgumu kuelewa
Tena mi kipindi cha period nampaga babe wangu a swim kwenye red sea..!! πAaaaiiiiiii π π π π π,,hajui huyu na ndoto nyevu juu