Tendo la ndoa ni la kishenzi

Tendo la ndoa ni la kishenzi

Wenzio tunaenjoy wewe unalalamika...
Kwani namba 2 ni lazima kufanya usiku? Mchana unazima nini?
 
^^
Neno shenzi linaweza pia kutumika kama kivumishi cha sifa.
Mf.
Fastjet anazurura kishenzi.
Yaani anatembea sana.
^^
 
Mi nafanyiaga kichakani,porini bafuni kwenye sofa kwenye korido nk, hiyo taa tazimia wp?
 
1. Ndo mnavua nguo
2. Ndo mana mnazima taa
3. Ndo mana hamsimulii watu jinsi mnavyolifanya

nawakilisha
  1. Sio lazima watu wavue nguo ndipo lifanyike, lilifanyika toka wakati ule binaadamu hajaanza kuvaa nguo!, na kwa sasa linaweza kufanyika hata bila hata wahusika kuvua nguo na kisasa zaidi kwa wahusika kuvaa nguo rasmi ya tendo hilo!.
  2. Sio lazima watu wazime taa as if lazima lifanyike usiku wa giza tena ndani chumba!. Linafanyika mchana kweupe tena popote hata mahala pa wazi huku waki wakishuhudia!.
  3. Vijana wa kiume, wanasimuliana jinsi wanavyofanya!, sijui kwa wakike!.
  4. Tendo hilo limebuniwa na shetani ili kumpa majaribu binaadamu, kama lengo la Mungu lilikuwa procreation tuu, angeweza kuifanya ifanyike kwa kusikana tuu mikono kama kusalimiana, ila ni shetani ndio alipendekeza lifanyike hivyo, na kwa baadhi ya dini, tukiwemo sisi Wakatoliki, tendo hilo no dhambi, ndio maana makasisi wetu hawalifanyi!.
  5. Kufuatia tendo holo kuwa dhambi, asili ya kila binaadamu ni tendo hilo, hivyo binaadamu anazaliwa kwa dhambi ya asili, ambayo huondolewa kwa kubatizwa!.
  6. Mtu pekee aliyekingiwa dhambi ya asili ni Bikira Maria, alimzaa mtoto Yesu, bila kufanyika "dhambi ya asili", kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu hivyo kutofanyika kwa tendo hilo!.
  7. Mungu baada ya kuumba ulimwengu, aliwaruhusu Adamu na Eva kufanya yote isipokuwa tendo hilo, na ni baada ya kulifanya, wakajitambua wako uchi, wakaadhibiwa kufukuzwa ndani ya bstani ya Adeni.
  8. Tendo hilo ndio source ya dhambi zote humu duniani na laana zote ukiwemo ugonjwa hatari wa ukimwi.
  9. Tendo holo ndilo limeponza wafalme na mashujaa kibao kuangamia akiwemo Samsoni, Farao hata Malkia Cleopatra, alipotaka kulazimishwa kufanya na asiempenda, kuliko kufanywa akajiua na nyoka cobra.
  10. Tendo hilo, ndilo tendo linalofanyika kuliko tendo jingine lolote ukiondoa kula, kuny.. na kupumua!. Biashara ya tendo hilo ndio biashara kuu ya kwanza duniani, ni ndio kazi iliyotoa ajira kubwa zaidi kwa watu wengi zaidi duniani, kwa wengine kujiuza na wengine kununuliwa jumla kwa mahari, huku wale wanatoa huduma hiyo kwa wateja tofauti tofauti wakiitwa majina mabaya ya mala.. au chang.. huku wale waloajiriwa kutoa huduma hiyo kwa mteja moja moja wakiitwa majina ya heshima mrs, wife, mke au mama fulani!.

Yote kwa yote, ni tendo hilo hilo!.
Pasco
 
Mkuu, Pasco, umepotea sana kule kwenye jukwa la pasua kichwa, i mean jukwa la siasa, kumbe bado upo? Anyway, michango yako hiyo uliotoa ya kwenye Biblia napingana na wewe kabisa, si kweli kwamba Shetani ndiye mbunifu wa tendo la ndoa, shetani amelifanya lifanyike nje ya ndoa na hiyo ndio dhambi! Hiyo dhambi ya asili unayoisema nayo, mh, namashaka makubwa sana na ukweli wa hilo, Bikira Mariamu? Hivi unadhani yule mama alifariki akiwa bado bikira? Kwa taarifa yako, Yusufu alikua aki enjoy naye kama kawaida na hata alizaa watoto wengine wa kiume na wa kike! Hebu soma hapa Mathayo 1:21-25, inasema hivi, "....Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe;asimjue kamwe hata alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake Yesu". Hapo nilipo Bold, hilo neno maanake, baada ya kumzaa Yesu Yusufu aliendelea kumjua mkewe kama wana ndoa wengine tu. Funguka kaka, usikariri.
 
Mimi kitu ambacho sielewi ni vipi kujamiiana ni dhambi. Yaani Mungu anachukia sana sisi tukipata raha? Kwa nini? Manake kwa jinsi ninavyojua watu karibu wote wanapata raha sana wanaposhiriki kile kitendo, sasa Mungu yeye anachukia sana??? Why?
 
Back
Top Bottom