Tendo la ndoa ni la kishenzi

Tendo la ndoa ni la kishenzi

I see Pasco umenichekesha sana kifungu cha mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Mimi kitu ambacho sielewi ni vipi kujamiiana ni dhambi. Yaani Mungu anachukia sana sisi tukipata raha? Kwa nini? Manake kwa jinsi ninavyojua watu karibu wote wanapata raha sana wanaposhiriki kile kitendo, sasa Mungu yeye anachukia sana??? Why?

cku zote v2 vzuri ndo haram na vinamadhara...we uoni hata chips watu weng wanazipenda bt co nzuri kwa afya....na huku kujaamiana ni dhambi lkn mtu yupo radhi apige deshi ya kula akalipe gest kugonoka..
 
Nani kawaambia Mungu anachukia nyie waungwana? Si asingeumba ivi vidude...
 
Likishaitwa tendo la ndoa linakua takatifu na limebarikiwa na sharti lifanywe na wanandoa
Kinyume na hapo sifahamu
 

Pasco:
Tendo hilo limebuniwa na shetani ili kumpa majaribu binaadamu, kama lengo la Mungu lilikuwa
procreation tuu, angeweza kuifanya ifanyike kwa kusikana tuu mikono kama kusalimiana, ila ni shetani
ndio alipendekeza lifanyike hivyo, na kwa baadhi ya dini, tukiwemo sisi Wakatoliki, tendo hilo no dhambi,
ndio maana makasisi wetu hawalifanyi!.


Really? Kwa hiyo Mungu alikubaliana na Shetani kumpa majaribu binadamu? It doesn't make sense to me. Kama
kwa Kanisa Katoliki tendo hilo ni dhambi kwa nini wanafungisha ndoa? Mimi nimewahi kuwa Mkatoliki na ninachojua
ni kuwa tendo hilo ni dhambi kama halijahalalishwa yaani likifanywa bila ndoa na si kweli kwamba Makasisi hawaoi
kwa sababu tendo hilo ni baya, sitaki kuliongelea sana suala la makasisi kutooa kwani huo ni mjadala mwingine.



Kufuatia tendo hilo kuwa dhambi, asili ya kila binaadamu ni tendo hilo, hivyo binaadamu anazaliwa kwa
dhambi ya asili, ambayo huondolewa kwa kubatizwa!.



Huu nao ni upotoshaji, dhambi ya asili ya binadamu haitokani na KUZALIWA KUPITIA TENDO LA NDOA
bali ni kutokana na kurithi kutoka kwa baba yetu Adam. Nitaeleza zaidi hapo chini.



Mungu baada ya kuumba ulimwengu, aliwaruhusu Adamu na Eva kufanya yote isipokuwa tendo hilo, na ni
baada ya kulifanya, wakajitambua wako uchi, wakaadhibiwa kufukuzwa ndani ya bstani ya Adeni.



Wrong again! Kasome vizuri Biblia. Mungu hakuwakataza kufanya tendo hilo. As a matter of fact baada ya Mungu
kumuumba Adam na Eva, binadamu wa jinsia tofauti, akawaambia NENDENI MKAIJAZE DUNIA, sasa wangeijaza
vipi? By the way kama alikuwa na lengo jingine tofauti na procreation si angewaumba binadamu wa jinsia moja?

Adam na Eva walikatazwa KULA TUNDA LITERALLY! Kwa maana ya kwamba kulikuwa na mti kweli wenye matunda
na hawakutakiwa kula, Period! Tafsiri ya kuwa tunda ni ngono ni tafsiri kutoka kwa baadhi ya watu. Baada ya
kudanganywa na Shetani na kula tunda hilo ndipo walipoadhibiwa na ndio maana na sisi tunarithi dhambi hiyo.
 
Sa huyu mj.inga kaandika u2mbo gani hapa?

Hilo tendo analoli2c si ndo limemfikisha hapa jf?

Lmao!
 
Back
Top Bottom