Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

MK254 ni mtaalamu wa hizi vitu kaniambia hawahesabu bao....kila ukichomeka na kutoa wanahesabu mara moja!!!
🙂🙂🙂
heee majanga basi sasa utakuwa unafanya kazi ya kuchomeka na kuchoomoa hadi saa ngapi zipite hizo round zao wanazotaka kwenye mechi
 
Hii nimeipata kwenye tovuti ya habari, mwanamke ameolewa na mume ambaye hachoki na hatosheki, wanafanya tendo la ndoa mara nane kwa siku. Mke anasema mumewe ni mzuri sana kitandani na kweli huwa ni mahaba kwa raha zao, lakini sasa ameanza kuchoka na anaogopa kumtajia mumewe asije akatafuta huko nje.

Anaomba ushauri nini cha kufanya maana hana nguvu tena za kumthibiti mumewe wanayependana sana.

Taarifa hii hapa

Dear Coleen,
My husband has an enormous sex drive and can want it up to eight times in 24 hours (one weekend we made love 36 times).

I’m 47 and, although fit for my age, this level of activity is killing me!

My husband is slightly younger than me at 45, but is insatiable.

Our love-making is fantastic and he is a good attentive lover.

I don’t want to upset him or have him look elsewhere if I start saying no. Help!

My husband wants sex eight times a day and I'm exhausted
Akubali kusaaidiwa hakuna namna
 
mume wa huyo dada naona tunakaribiana tabia na mbio za kitandani.Maana hata nami wakina dada wananikimbia na kunipa lawama nawakomoa kwa mapigo marefu na ya kila mara ktk siku!!
 
Wengine tunawatafuta wapiga mtambo kama huyo yeye analalamika?? Avumilie tu ndio utamu wenyewe au kama vipi asaidiwe
nlitaka kushangaa km hujatia neno hapaa...

Nimependa hiyo avater, ila sidhan km inauhalisia na ww
 
Hii nimeipata kwenye tovuti ya habari, mwanamke ameolewa na mume ambaye hachoki na hatosheki, wanafanya tendo la ndoa mara nane kwa siku. Mke anasema mumewe ni mzuri sana kitandani na kweli huwa ni mahaba kwa raha zao, lakini sasa ameanza kuchoka na anaogopa kumtajia mumewe asije akatafuta huko nje.

Anaomba ushauri nini cha kufanya maana hana nguvu tena za kumthibiti mumewe wanayependana sana.

Taarifa hii hapa

Dear Coleen,
My husband has an enormous sex drive and can want it up to eight times in 24 hours (one weekend we made love 36 times).

I’m 47 and, although fit for my age, this level of activity is killing me!

My husband is slightly younger than me at 45, but is insatiable.

Our love-making is fantastic and he is a good attentive lover.

I don’t want to upset him or have him look elsewhere if I start saying no. Help!

My husband wants sex eight times a day and I'm exhausted
Ooh my God!!!! Is she satisfying ?
 
rafiki unaonaje umwambie ray akupe debe la maji ung'ae kama yeye
Rafiki naipenda rangi yangu sana, kwanza si rahisi kuiforge kama ya hao akina Ray. Wazungu wenyewe wanaipenda na inanisaidia sana kuingiza fedha za kigeni!
 
Kweli miAfrika ndivyo tulivyo. Hapo ungemuomba akufyatulie tofali 36 Kama hizo goli anazotupia angekuja na visingizio kibao na ugonjwa juu. SMDH
 
Back
Top Bottom