Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

Wengine tunawatafuta wapiga mtambo kama huyo yeye analalamika?? Avumilie tu ndio utamu wenyewe au kama vipi asaidiwe
acha urongo wewe,unatafuta wa kukupiga mtalimbo mara 8 kwa siku??utalala saa ngapi utaenda kazini saa ngapi utapumzika saa ngapi???yaani wewe upigwe mtalimbo mara 36 just over weekend ndio unataka???
 
Siyajui mkuu ndio maana nikakuliza.....weekend tuseme jumamosi na jumapili mara 18 kwa siku. safi sana.

Itakua alihesabu hadi na Ijumaa, siku tatu, siunajua wenzetu kwa starehe wikendi hawajambo.
 
Mwekeeni ile clip ya simba anayepiga 662 ndani ya wiki au kila robo saa anamwaga!!!
 
Halafu jamaa ana 45 yrs je angekuwa ana 25yrs?!!
Hehehehe!! Unajua ule msemo "life begins at 40", siku hizi hao vijana wa 25yrs wananyang'anywa wasichana kiulani tu.
 
Back
Top Bottom