bothlegs
Senior Member
- Apr 14, 2009
- 123
- 49
Tende ndio jina lake wala lisikusumbue.
Ni la ajabu umbo lake pia na utamue.
Utamu na ladha yake tofauti na rangie.
Ni kubwa haiba yake mlaji ndio ajuae.
Ni laini nyama yake watamani ujilie.
Usimeze kokwa yake uilapo ibabue.
Utatamani uende peke ilipo uichukue.
Uile papo kwa papo bila kujali mwenyewe.
Je wewe uheshawahi kula tende mara ngapi?
Ni la ajabu umbo lake pia na utamue.
Utamu na ladha yake tofauti na rangie.
Ni kubwa haiba yake mlaji ndio ajuae.
Ni laini nyama yake watamani ujilie.
Usimeze kokwa yake uilapo ibabue.
Utatamani uende peke ilipo uichukue.
Uile papo kwa papo bila kujali mwenyewe.
Je wewe uheshawahi kula tende mara ngapi?