Kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu......ni haramu kuliwa na halali kukinywa....kina herufi tano na kinaanza na neno M...kinatumika na wanaume mara TATU kwa siku na wanawake mara MOJA tu katika maisha yao yote.
JE NI KITU GANI HICHO?
Jibu lake ni MFANO
hakuna kitu kama hicho
ustuchezee akili
haya nipeni zawadi yangu