C Chengo Wa Anziwani Member Joined Nov 18, 2019 Posts 45 Reaction score 48 Jan 21, 2024 #1 Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya gharama kupitia barua pepe chengowaanziwani@gmail.com au WhatsApp 0687087021 Asante.
Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya gharama kupitia barua pepe chengowaanziwani@gmail.com au WhatsApp 0687087021 Asante.
FirstClass JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,148 Reaction score 1,470 Jan 21, 2024 #2 Hii miche kwa kasulu ni mingi sana.. sijaiona kwa dar
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,087 Reaction score 22,142 Jan 27, 2024 #3 Miti ya mbao ya mpapai
C Chengo Wa Anziwani Member Joined Nov 18, 2019 Posts 45 Reaction score 48 Feb 11, 2024 Thread starter #4 Habari wadau, napenda kuwashukuru wote waliofanikiwa kuwasilisha offer zao kwa ajili ya miti ya mipaina. Nashukuru niweza kupata Supplier wa miti niliyokuwa naihitaji kwa gharama shindani. Asanteni sana 🙏🙏
Habari wadau, napenda kuwashukuru wote waliofanikiwa kuwasilisha offer zao kwa ajili ya miti ya mipaina. Nashukuru niweza kupata Supplier wa miti niliyokuwa naihitaji kwa gharama shindani. Asanteni sana 🙏🙏