Tenda wema nenda zako

hao wazuri hao wenye nyumba wako wapi.? au walikuwa na boss hapo hapo maana ni maajabu
 
Walipika daku wakala kabisa duh
 
hao wazuri hao wenye nyumba wako wapi.? au walikuwa na boss hapo hapo maana ni maajabu
Niliisoma hii habari, waliwaweka chini ya ulinzi hao wenye nyumba.. wakafanya yao wakawaambia wakipiga kelele watawaua... wakamaliza yao wakaosha vyombo wakaondoka na mizigo yao.
 
Na vyombo wakaosha? Basi kumbe kweli inawezekana wezi wa kama kwenye bongo movies wapo wale wa kuvua viatu mlangoni.
 
Hahahahaaa hao kweli ni majambaz Wa bongo movie
 
Wenye nyumba walikuwa likizo mji mwingine?,wangefanya uungwaana wangewawekea wenye nyumba msosi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…