Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,907
- 7,868
Mimi naishi dodoma boss.Unaitwa nani na unaishi wapi? Unaweza kunitumia website ambazo umeshazifanyia kazi hadi sasa hivi, kama vile hosting, Google speed (SEO). Tunaweza tukaonana kesho city center kama una muda? Tafadhali nifahamishe haraka iwezekanavyo.
nilishafanya naye kazi, ni mswahiliMcheki Website Tanzania mzungumze
Aisee, hakudeliver kazi kwa wakati?nilishafanya naye kazi, ni mswahili
Kampuni yangu ilimlipa kwa ajili ya App (advance payment), kazi haikukamilika, ukimpigia simu hapokei.Aisee, hakudeliver kazi kwa wakati?
Equation x SajoKampuni yangu ilimlipa kwa ajili ya App (advance payment), kazi haikukamilika, ukimpigia simu hapokei.
Muhimu, hakikisha kazi yote amemaliza na amekupa 'database' ndio umlipe, tofauiti na hapo uhaminifu ni sifuri.
Marketing manager wangu atakucheki w/app. Jitahidi mkuu, uhaminifu ndio kila kitu katika maisha.Equation x Sajo
Habari boss App gani uliyolipia advance payment na kazi haikukamilika?...
Kwanza kabisa mimi sijihusishi na utengenezaji wa app ni website tu.
Naomba kufahamu maana sina mteja ambaye sijakamikisha kazi yake.
nimelist kazi ambazo nimeshakamilisha
www.pas.co.tz
www.restoreherdream.co.tz
www.premierhotel.co.tz
www.nauzagari.com
www.gpstanzania.co.tz
www.fahatradingcentre.co.tz
www.dmandshea.co.tz
Na baadhi ya wateja wanatokea humu humu jamiiforums. Sasa sijajua wewe app gani ambayo sijakamilisha.
Hakuna sehemu nimewahi kutangaza natengeneza app hapa jamiiforums.
Boss mbona nimeuliza kazi gani ya app ambayo sijakamilisha.Marketing manager wangu atakucheki w/app. Jitahidi mkuu, uhaminifu ndio kila kitu katika maisha.
Ungejibu maswali ya jamaa kwanza,siyo uungwana kuchafua biashara ya mtu kwa chuki binafsi.Marketing manager wangu atakucheki w/app. Jitahidi mkuu, uhaminifu ndio kila kitu katika maisha.
Kama uhamini na wewe weka pesa iliwe, sikulazimishi kuamini.Ungejibu maswali ya jamaa kwanza,siyo uungwana kuchafua biashara ya mtu kwa chuki binafsi.
Ungetakiwa ujibu mambo aliyo kuhoji hapo juu. Siyo kuhamisha magoli.Kama uhamini na wewe weka pesa iliwe, sikulazimishi kuamini.
Tangu lini mwizi akakubali kosa? Nilishang'atwa na nyoka, nawe kama uamini jaribu.Ungetakiwa ujibu mambo aliyo kuhoji hapo juu. Siyo kuhamisha magoli.
Kwa anayejua vizuri, siku moja inatosha au masaa tu kwa kutumia AILaki mbili π ni upfront fee ya 1 million ama ?
Ikwesheni exi
TZS 150,000β250,000: Website ya kawaida static (HTML/CSS/JavaScript au WordPress bila customization kubwa).Kwa anayejua vizuri, siku moja inatosha au masaa tu kwa kutumia AI