G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Wafuasi na wanazi wa CHADEMA poleni kwa kuangukia pua na kung'oa meno lakini msikate tamaa. Ninajua leo ni siku na usiku wa maumivu na majonzi lakini hizo ndio siasa Kashindye keshashindwa. Jipangeni muanzishe operesheni ASALI Tabora baada ya operesheni Sangara Kanda ya Ziwa huenda ikasaidia 2015.
Kwanza niwapongeze kwa juhudi kubwa mmeonesha mnaweza japo kuna vitu bado hamjaviweza katika siasa za Tz.
Tz huwezi kuilinganisha na nchi kama zambia katika nyanja za kisiasa kijamii na kiutamaduni achilia mbali kiuchumi.
CDM mkijaribu kuyafanya haya mnaweza kuchukua nchi hii bila kutumia nguvu kubwa.
41% ya watanzania wameichoka CCM hawa ni pamoja na asilimia 35 ya vijana wanaoishi mijini ambao kwa sasa inaonekana ni mtaji kwa CDM.
kati ya hao 20% ni wasomi. Pamoja na usomi wao bado hawajawa na nguvu ya kutosha kuwashawishi wazazi wao kule vijijini ambao wana IMANI bado na CCM. Ndio hao tunaona wanavaa RANGI YA KIJANI A NJANO. Wanakijua CCM.
Njia mbadala ya kuchukua nchi kiurahisi bila fujo:
1: wale wanachama watu wazima wa (umri) wa CDM ni wakati muafaka sasa kuwashawishi wazee wenzao taratibu madhara ya kuendelea kukichagua CCM
2:vijana wasomi wa CDM wawashawishi wazazi na walezi wao watu wazima madhara ya CCM pamoja na mazuri waliyoyafanya tangu kuzaliwa kwake 1977 na kabla ya TANU.
3; CCM hii sio ile ya Mzee mwenzao NYERERE na akina KAWAWA.
4:Watoe mifano hai ya wasomi kumaliza Elimu ya Juu pasipo kazi wakati watoto wa vigogo hasa wa CCM wakijineemesha ikiwezekana watoe na mifano. wawasomee taarifa zinazoandikwa magazetini kwa utuo bila jazba wazazi watawaamini na kuwaelewa.
5: Mimi mama yangu alikuwa CCm wa kutupwa lakini kila nikipata wasaa wa kukaa naye namsimulia mambo ya shule na madhara ya CCM nime fanikiwa kumbadilisha na kwamba kukosa kwangu kazi na yeye kuwa na maisha duni pamoja na kunisomesha yamesababishwa na CCM. Ameniamini kiasi kikubwa.
hivyo viongozi wa CDM ngazi zote fanyeni mikakati hii.
6: CCM hapakaliki wanagombana kila siku tuendelee kutia FITNA wasambaratishane.
NAWATAKIA KILA LA HERI WANA CDM. UCHAGUZI UMEKWISHA TUJIPANGE. TUWAJIBU CCM KWA HOJA HUMU JAMVINI TUSIWATUKANE ILI TUWAPE MOYO WAJIUNGE CDM TUNAWAHITAJI SANA. UKISHINDWA KUMPIGA BASI MBUSU
Huu ndiyo uandishi wa habari wa nchi yetu. Inawezekanaje Bureau Chief mzima ananukuu watu habari nzima? Sasa yeye kama mwandishi wa hii habari ameandika kitu gani. Hii ni sawa na kumpa mtu voice recorder halafu atafute mtu amrekodi.
Dr Dalaly Peter Kafumu is carried shoulder-high after he was declared the winner of the Igunga by-election yesterday afternoon. PHOTO | FIDELIS FELIX
By Ray Naluyaga
The Citizen Bureau Chief
Igunga. Clear message delivery, well coordinated party network, campaign strategies and long experience in local politics are some of factors that enabled the ruling party to retain the Igunga parliamentary seat.The CCM candidate, Dr Peter Kafumu, beat seven other candidates in the Sunday by-election to win the seat left vacant after the resignation of former, long-serving MP Rostam Aziz, over what he described as gutter politics within the ruling party.
Speaking to The Citizen here yesterday, a political science PhD student who was in Igunga as part of research programme, Mr Tungaraza Timothy, said CCMs message in the campaign aimed at telling the voters that its failure to accomplish some projects, which was Oppositions main agenda, was caused by factors which were beyond the partys control.
Admission by CCM that the national cake is small and that it must prioritise on what it does with it made people understand why Igunga lacks bridges roads, he explained.He said CCMs extensive network that goes all the way down to the grassroots was an added advantage. Mr Timothy observed that compared to Chadema, which enjoys immense support among the youth, CCM has women as permanent voters.
I attended Chademas campaign closing rally, it was the largest compared to that of CCM and CUF, but the crowd comprised mostly youth between 15 and 17 years of age who are not registered as voters, he said.He further observed that CCMs decision to use Rostam Aziz at its opening rally restored the lost confidence among some voters who had started to see it as a party marred by internal conflicts.He further said former President Benjamin Mkapa was also most handy for, he noted, many people still cherish some of the things he did during his tenure.
As for Chadema, he said, apart from spending most of its time attacking CCM and its government, it failed to give its candidate, Mr Joseph Kashindye, enough time to campaign.
He observed that during Chademas first rally at Nkinga Ward, party chairman Freeman Mbowe spent most of the time faulting President Kikwete, a thing that was not a priority to Igunga voters.
For his part, Mr Ali Athumani observed that Chadema did not give enough time to its candidate to speak to wananchi during its rallies. For example, he noted, in Nkinga Mr Kashindye was given only three minutes though most people wanted to hear from the person who was seeking to be their MP. At Nanga and Ziba villages the candidate spoke for only five minutes.
He further noted that Kikwetes month-end speech, in which he strongly warned that the government wouldnt tolerate anyone who would even think of causing chaos on the voting day was also a boost for CCM. This is so because women and the elderly who are CCMs traditional voters were assured of peace and security, so they turned out in large numbers, he said.
Chademas defeat was also blamed on the partys failure to localise its campaigns. According to Mr Wiston Joseph, Chadema used people from outside Igunga such as its MPs and other party officials while CCM relied heavily on locals.
Wherever CCM held a rally, people close to Dr Kafumu, who were Igungans and spoke the local dialect, remained behind and chatted with the people face to face about their candidate and the party. This is something that Chadema did not do, he said.
But also Chademas decision to dump election agents hailing from Igunga was said to be another reason why the party lost. One Ms Amina Salum said some youth from Igunga felt the party had no faith in them.
If the allowances paid to outsiders were paid to the locals, their impact could have been felt at the family level and help the party gain approval of the voters, she said.
Mr Timothy further told The Citizen that Chadema, which came second in the poll, failed to articulate its policies as clearly as CCM did.Chadema used its meetings to tell people how evil CCM was but this does not help voters who would like to hear what the party and its candidate would do for them, he said.
He also hailed CCMs decision to use Mr January Makamba and other youthful party stalwarts to woo the young who are otherwise pro-Chadema.