G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Ninajaribu kutafakari ushindi wa CCM jimbo la Igunga, na ningependa kuleta kwenu, kuona wana Jamvi mnatafsiri vp mwelekeo huu wa CCM!!
Tu assume kwamba uchaguzi ulikuwa wa huru na wa haki
Hivi kwa umri ilionao CCM ni wa kutumia nguvu zote zile kukabili wapinzani wao CHADEMA ambao hawajawahi kusimamisha mgombea katika historia ya maisha ya chama chao Jimboni Igunga?? Hii mimi inanipa wasiwasi sana kuhusu future ya chama cha mapinduzi!! Hakika haya ndio mapinduzi yenyewe!!! Kwani wanapinduliwa bila wao kufahamu.
CCM imeogopa kupeleka wapambanaji wa Ufisadi jimboni Igunga kisa Rostam hata toa support yake jimboni Igunga, mtu mmoja anaogopwa na taasisi kubwa kama CCM, hii haiingii akilini kabisa.
Tuchukulie ukweli ambao Watanzania watanzania walio wengi wanaamini ndicho kilichofanyika Igunga (UCHAKACHUAJI)
Eti uchaguzi mdogo kama Igunga na nguvu zote walizotumia wameiba pia!!!! Uhai wa hiki chama unaelekea wapi?? Inasikitisha kwa kweli!!
CCM MSIFURAHIE HUU USHINDI!!! CHADEMA WANAPASWA KUFURAHIA HIKI KILICHOTOKEA KWA MAANA NI MAPINDUZI MAKUBWA SANA YALIYOFANYIKA HUKO IGUNGA..