Ten most powerful people in Tanzania!


Thanks for the lecture
 
They are pulling the strings, na unafuata utake usitake wao wako gizani. Taifa linahitaji kuwa na watu wa jinsi hiyo ili liende kule linakotakiwa. ila kwa sasa sidhani kama tunalo hilo kundi, ila ni la muhimu
 
Hii yako si sawa isipokuwa hii apa:
1. Freeman Mbowe
2. Willbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
4. Tundu Lissu
5. John Mnyika
6. Mzee Ndesambulo
7. Halima Mdee
8. Lwakatale
9. Sambwee Shitambala
10. Mbogolo wa Songea
No: 9 ni kituko
 
minds is like a parachute, it work best when it's open.
 
Mleta mada ni mmojawapo wa watanzania ambao bado hawajajitambua. Wasiojitambua huwapa hadhi na heshima wezi wa mabilioni ya walipa kodi, lakini wako tayari kumtoa roho mwizi wa kuku. Ndiyo maana leo kijana ameajiliwa mwaka huu na anaonekana makini anapomiliki mali mwaka unaofuata na kuwa tajiri. Lini watanzania tutakapo jitambua na mwizi akaitwa mwizi na si the most poweful people?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…